Baadhi ya Wabunge 19 walio na mgogoro walikuwa wanakubalika Sana mtaani.
Toka wapate Ubunge wameondoka majimboni na kwenye mitandao ya kijamii, wamefifia kwenye bunge na mtaani.
Leo Bungeni...
Kwa watoto wadogo na wasiojua mambo wanadhani hayati Magufuli alianza kuwa mkali alipokuwa rais wa nchi tu wakati ukweli ni kwamba Magufuli alikuwa mkali na mfuatiliaji tangu akiwa naibu waziri...
JK made a personal request to ambassador retzer for a management training of his closest aides, named january makamba and david jairo. This is why he hesitated remolving him from office.
.and...
Kesho ni kumbukumbu ya kutimiza mwaka 1 toka Raisi wa 5 wa Tanzania John Pombe Magufuli alipo fariki dunia, Magufuli alikuwa ni M-Socialist wa mlengo mkali wa Shoto na mwanamagauzi mkubwa wa...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Wizara hiyo imewaondoa kwenye nafasi zao wakurugenzi watano wa Bohari ya Dawa Tanzania (MSD) kutokana na malalamiko yaliyokuwa yakitolewa.
Waziri Ummy amesema...
Wakili msomi Edward Kufakunoga amesema Halima Mdee amekula kiapo kwa umakini mkubwa.
Mosi ni kweli kabisa Halima Mdee aliteuliwa na NEC kuwa mbunge wa viti maalumu
Pili Halima Mdee wakati...
#HABARI Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, amesema: “Sisi tumemaliza kazi yetu, wacha wagombane na wananchi kwani hakuna kilicho sawa, kama Serikali na CCM wameamua kuwalinda kwa mgongo huo sawa.”
Kuna kundi la "WAHUNI WA KISIASA" ambalo limeibuka na linajijenga kila uchao nchini.
Kundi hili linapatikana kwenye Jamii yetu na hasa hasa kwenye vyama viwili maarufu vya Siasa vya Chadema na...
Kwa mujibu wa RC Batilda,Rais wa JMT Samia S.Hassan anatarakia kufanya ziara ya kikazi mkoani Tabora.
====
TAARIFA:
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt Batilda Buriani ametangaza Rasmi Kuwa Rais...
Leo Spika angekataa kuwavua ubunge akina mdee Chadema wasingeweza kwenda mahakamani kupinga uamuzi wake. Kupitia Sheria ya kinga kwa spika Basi mahakama isingeweza kabisa kuingilia maamuzi yake...
Wakati wa utawala wa Jakaya Kikwete ndipo tuliposhuhudia bunge lilichongamka, likiwa na mijadala ya nguvu na mikali sana. Ni wakati ambapo kazi ya bunge ilikuwa zaidi ya kuishauri serikali, bunge...
Kama ni binadamu wa kawaida, mchambuzi mzuri wa siasa na mwanaharakati huwezi Sasa kukosa mashaka juu ya Mwenendo wa Freeman Mbowe tokea awali kabisa.
Uwenda anajenga upinzani bandia na...
Kinachomfanya mtu kuwa ni mbunge ni pale anapokuwa ni mwanachama hai wa chama cha siasa na hii ni kwa mujibu wa katiba. Bunge linapaswa KUHESHIMU ibara ya 71(1)(e) ya KATIBA ya Tanzania.
Bunge...
Halima Mdee na Wasaliti wenzake 18 , akiwemo dada yangu Sophia Mwakagenda , Waliingizwa bungeni kiharamia na serikali ya Tanzania, serikali ya Tanzania na mfumo wake waliamua kufanya hivyo ili...
Wasalaam.
Nakumbuka july 26 mwaka 2017 aliekuwa spika wa bunge JMT mh ndugai aliwavua ubunge wabunge 8 wa CUF mara baada ya wabunge hao kuvuliwa uanachama na barua ya kuvuliwa uanachama...
Tanzania kina mihimili mitatu, mihimili yote inaajiri wasomi wengi wakiwa na first degree na kuendelea huu wachache wakiwa naelimu ya sekondari.
Upo wakati watanzania walilalamika majeshi...
Uchaguzi huu Mkuu ndani ya Chama ulikuwa na maamuzi makubwa na Magumu,kwasababu CCM walikuwa wanatamani Mbowe asirudi ili apatikane mtu dhaifu ikiwezekana wamnunue,bila kujali propaganda zozote...
Meya wa zamani wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob kupitia ukurasa wake wa Twitter ametoa malalamiko yake akidai Serikali inacheza mchezo wa Kimafia kuhusiana na kesi ya Rufaa ya Wabunge 19...
Chama cha mapinduzi ngazi ya wilaya , wilaya ya Hai huko Kilimanjaro kimeanza zoezi la hila la kuwatambua viongozi watakao chaguliwa kuanzia ngapi ya Shina hadi ngazi ya kata Mia ikiwa kuvuruga...
Chadema inahitaji damu mpya kwy uongozi. Mbowe haiwezi CCM.
Mbowe ni mtoto wa Nyerere kwa ubatizo na mzee Mbowe alikuwa mwandani wa Mwl.
Mzee Mbowe aliwekeza vya kutosha kujenga TANU/CCM km...