Nikiri wazi kuwa nchi yetu inajichanganya sana kwenye mwendelezo wa uongozi wake. Ukiangalia tunavyoongozwa ni kana kwamba tumeongozwa na vyama tofauti vya kisiasa, wakati inajulikana fika kwamba...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es...
Naibu waziri wa elimu akiwa bungeni, amesema suala la kuvuja mitihani halipo na mara ya mwisho mitihani kuvuja ni mwaka 2008 na ulikuwa mtihani mmoja wa somo la hisabati wa kidato cha nne.
Naibu...
Ukweli una tabia Moja! Uwachukiza wachache na wengi hubaki wameduwaa kwamba kumbe na haya yapo?
Ukweli utakiwa kusemwa na wenye uthubutu bila kujali nani atakuchukuliaje Kuweka Mambo hadharani...
Baada Rais wa Zanzibar, Dr. Hussein Ali Mwinyi kuidhinisha sheria mpya ya kudhibiti dawa za kulevya, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Dkt. Saada Mkuya, leo Ijumaa...
Pamoja na Kutokujua Sheria lakini hili la SPIKA LINASHANGAZA SANA.
Endapo Mahakama ingetoa ZUIO kwa BUNGE kulishughulikia Suala la Wabunge waliofukuzwa na Chadema ingekuwa sahihi lakini kwanini...
Kwa nini Katiba ya Tanzania ilitaka mawaziri lazima wawe wabunge ?
Faida ni zipi mawaziri kuwa wabunge?
Mawaziri hulipwa mshahara wa ziada juu ya mshahara wao wa ubunge?
Kama mawaziri wanalipwa...
Iko hivi,
Sote tunafahamu, Filamu ya Royal Tour ni mali ya Watanzania kwa 100%
Tanzania imeigharamia filamu hii tangu kurekodiwa kwake mpaka kuzinduliwa kwake huko Marekani.
Inakadiriwa mpaka...
HALIMA NA WENZAKE 18 WANALINDWA NA KIFUNGU HIKI
Spika wa Bunge Bunge_tz Dkt. Tulia Ackson ametaja Vifungu vya Sheria vinavyowalinda Wabunge 19 wa Viti Maalum wa ChademaTz kuendelea licha ya...
Tangu Mwanzo nilisema, Wizara ya Nishati na Ewura wanamuangusha Mama, Kwa kuchukukulia business as usual.
Fuel is a very sensitive item kwemye Uchumi na hata siku moja haiwezekani ikaruhusiwa...
Sijui ni kitu gani kinawafanya muone Mbowe jinsi mnavyomuona kwamba ni Malaika, sasa mnaamini kabisa ule Mkutano Mlimani ulikuwa real ? Kwa nini hamuulizi maswali ?
Iweje waliofukuzwa Ubunge...
Spika wa Bunge, Job Ndugai ameridhia barua ya kufukuzwa uanachama Wabunge 8 wa CUF
Atangaza nafasi zao kuwa wazi na kumuachia Msajili wa vyama vya siasa kuendelea na taratibu zinazostahiki.
Hakuna hata mpinzani mmoja anayeweza kukaza na msimamo akipewa mlungula,
Si Ajabu hata huyo mwenyekiti wa Kudumu anakula meza moja na watawala nyie mnahangaika na keyboard
Nani angeamini kama...
BUNGE limeweka wazi kuwa hawatambui wanachama wanane waliovuliwa uanachama na Chama cha Wananchi (CUF) na baadaye kutangazwa kuvuliwa nafasi zao za ubunge na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)...
Watu kumi na tisa ni wengi mno kwa wote kushikamana na kuwa wamoja baada ya mambo kuharibika, hivyo wako baadhi yao wataonza kutoa siri na hata wengine kuomba radhi unless wataenda mahakamani...
Kwa mara nyingine, wabunge wanane wa viti maalumu waliovuliwa uanachama na CUF na kupoteza nyadhifa hizo, wamegonga ukuta baada ya mahakama kukataa maombi yao ya amri ya kuzuia kuapishwa kwa...
ALICHOFANYA RAIS SAMIA KWA WAFANYAKAZI NI ZAIDI YA KUUPIGA MWINGI.
Na Bwanku M Bwanku.
Leo Jumatatu Mei 16, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua kiundani hatua ya Serikali...
tunataka kujua mshindi ktk kinyang'anyiro cha urais kabla ya oct 25,comment chama chako na wa mwisho kucomment ndio atakuwa mshindi...
mimi naanza hivi..
Ukiwa umebeba shoka, halafu ukikutana na mtu yoyote tu ukaona anazingua unampiga la kichwa (kwa kuwa unanguvu ya kulinyanyua na kushusha) huo si uongozi bora. Uongozi bora si kutumia silaha au...
Kwa siku mbili hizi za Jana na Leo nimepata nafasi ya kufuatilia bunge mubashara toka Dodoma. Nimetazama na kusikiliza lakini ile radha ya bunge haipo kabisa.
Kuna wenye hoja lakini kwa jinsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.