Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Wizara hiyo imewaondoa kwenye nafasi zao wakurugenzi watano wa Bohari ya Dawa Tanzania (MSD) kutokana na malalamiko yaliyokuwa yakitolewa. Waziri Ummy amesema...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakili msomi Edward Kufakunoga amesema Halima Mdee amekula kiapo kwa umakini mkubwa. Mosi ni kweli kabisa Halima Mdee aliteuliwa na NEC kuwa mbunge wa viti maalumu Pili Halima Mdee wakati...
0 Reactions
33 Replies
2K Views
#HABARI Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, amesema: “Sisi tumemaliza kazi yetu, wacha wagombane na wananchi kwani hakuna kilicho sawa, kama Serikali na CCM wameamua kuwalinda kwa mgongo huo sawa.”
17 Reactions
63 Replies
4K Views
Kuna kundi la "WAHUNI WA KISIASA" ambalo limeibuka na linajijenga kila uchao nchini. Kundi hili linapatikana kwenye Jamii yetu na hasa hasa kwenye vyama viwili maarufu vya Siasa vya Chadema na...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa RC Batilda,Rais wa JMT Samia S.Hassan anatarakia kufanya ziara ya kikazi mkoani Tabora. ==== TAARIFA: Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt Batilda Buriani ametangaza Rasmi Kuwa Rais...
7 Reactions
55 Replies
5K Views
Leo Spika angekataa kuwavua ubunge akina mdee Chadema wasingeweza kwenda mahakamani kupinga uamuzi wake. Kupitia Sheria ya kinga kwa spika Basi mahakama isingeweza kabisa kuingilia maamuzi yake...
13 Reactions
22 Replies
2K Views
Wakati wa utawala wa Jakaya Kikwete ndipo tuliposhuhudia bunge lilichongamka, likiwa na mijadala ya nguvu na mikali sana. Ni wakati ambapo kazi ya bunge ilikuwa zaidi ya kuishauri serikali, bunge...
2 Reactions
4 Replies
640 Views
Kama ni binadamu wa kawaida, mchambuzi mzuri wa siasa na mwanaharakati huwezi Sasa kukosa mashaka juu ya Mwenendo wa Freeman Mbowe tokea awali kabisa. Uwenda anajenga upinzani bandia na...
2 Reactions
4 Replies
663 Views
Kinachomfanya mtu kuwa ni mbunge ni pale anapokuwa ni mwanachama hai wa chama cha siasa na hii ni kwa mujibu wa katiba. Bunge linapaswa KUHESHIMU ibara ya 71(1)(e) ya KATIBA ya Tanzania. Bunge...
10 Reactions
17 Replies
1K Views
Halima Mdee na Wasaliti wenzake 18 , akiwemo dada yangu Sophia Mwakagenda , Waliingizwa bungeni kiharamia na serikali ya Tanzania, serikali ya Tanzania na mfumo wake waliamua kufanya hivyo ili...
17 Reactions
52 Replies
5K Views
Wasalaam. Nakumbuka july 26 mwaka 2017 aliekuwa spika wa bunge JMT mh ndugai aliwavua ubunge wabunge 8 wa CUF mara baada ya wabunge hao kuvuliwa uanachama na barua ya kuvuliwa uanachama...
5 Reactions
6 Replies
750 Views
Tanzania kina mihimili mitatu, mihimili yote inaajiri wasomi wengi wakiwa na first degree na kuendelea huu wachache wakiwa naelimu ya sekondari. Upo wakati watanzania walilalamika majeshi...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Uchaguzi huu Mkuu ndani ya Chama ulikuwa na maamuzi makubwa na Magumu,kwasababu CCM walikuwa wanatamani Mbowe asirudi ili apatikane mtu dhaifu ikiwezekana wamnunue,bila kujali propaganda zozote...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Meya wa zamani wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob kupitia ukurasa wake wa Twitter ametoa malalamiko yake akidai Serikali inacheza mchezo wa Kimafia kuhusiana na kesi ya Rufaa ya Wabunge 19...
38 Reactions
101 Replies
8K Views
Chama cha mapinduzi ngazi ya wilaya , wilaya ya Hai huko Kilimanjaro kimeanza zoezi la hila la kuwatambua viongozi watakao chaguliwa kuanzia ngapi ya Shina hadi ngazi ya kata Mia ikiwa kuvuruga...
0 Reactions
1 Replies
783 Views
Chadema inahitaji damu mpya kwy uongozi. Mbowe haiwezi CCM. Mbowe ni mtoto wa Nyerere kwa ubatizo na mzee Mbowe alikuwa mwandani wa Mwl. Mzee Mbowe aliwekeza vya kutosha kujenga TANU/CCM km...
0 Reactions
4 Replies
736 Views
Wabunge walienda bungeni kwa tiketi ya chama. na chama kimewavua uanachama na spika kapokea Barua ya chama Kama utaratibu unavyotaka. Maajabu ya spika; 1. Chama hiwe kwa njia yoyote ile lakini...
20 Reactions
67 Replies
5K Views
Hivi inakuwaje unakuwa na uchungu Mdee na kundi lake la wanadada 19 kuwa wabunge hata kama wanazama mjengoni kimazabe? Hii ndio sababu ya kukupain mpaka mshipa wa koo unataka kukukatika! Mbona...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Ni kuombe uwe muwazi kabisa juu ya hili sakata la kina Mdee,kifupi unalijua kiundani na wewe ndio master mind. Unajifanya uko serious na hutaki mzaha lakini wabunge hawa wanabaraka zako ...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Hii ndio Taarifa ya Dharula ya sasa inayosambazwa na Chama hicho , kwamba viongozi wa Juu Kabisa wa Chadema wataongea na Waandishi wa Habari wa Dunia nzima tarehe 17/05/2022 , saa 5 Asubuhi ...
8 Reactions
37 Replies
3K Views
Back
Top Bottom