Boniface Jacob: Serikali inacheza mchezo wa Kimafia, kesi ya akina Mdee ilipangwa kusikilizwa bila CHADEMA. Hawakujua sisi Wahuni pia!

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,442
3,353
Meya wa zamani wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob kupitia ukurasa wake wa Twitter ametoa malalamiko yake akidai Serikali inacheza mchezo wa Kimafia kuhusiana na kesi ya Rufaa ya Wabunge 19 walifukuzwa uanachama CHADEMA ila bado wakiendelee kuingia Bungeni.

Ameandika “Serikali inacheza Mchezo wa Kimafia sana. Tumetuma Mawakili Mahakama Kuu, pale Ofisini Kwa Msajili Wa Mahakama Wakakama Hakuna Kesi ya Kina Mdee. Mawakili wetu wakajifanya Wameondoka Kumbe wamejificha. Wamekuta Saa 8:00 Kesi ya kina Mdee Inasikilizwa Kwa Jaji Mgeta Kimya Kimya”

Katika tweet nyingine iliyofuata, akaandika “CHADEMA wala Mawakili wa CHADEMA hawajapewa Summons ya Mahakama Kuhusu Kesi ya Kina Mdee inayosemekena Kufunguliwa Siku Nne nyuma. Masijala ya Mahakama Wanasema hawaijui. Kumbe Walipanga isikikizwe Upande Mmoja Kimya Kimya,Mchana huu. Mungu Mkubwa Adv Malya ameingia ndani tayari“

Ameongeza “Wakili Peter Kibatala na Wakili John Malya tayari wapo ndani ya Chumba Cha Mahakama Mbele ya Jaji Mgeta 😂😂😂😂😂. Hawakujua sisi Wahuni pia Kuliko wao, Mahakama Kuu ilikuwa na Makachero wa Chama tangu Saa 1 Asubuhi. Mikakati ya Kusikilizwa Kesi Upande Moja bila CHADEMA imefeli“

E7FAAA41-2400-40E0-985F-B7A079DBAB0C.jpeg

ECF82954-48DC-4DE4-968F-9031E7CFA775.jpeg

F099245A-AC86-4124-A6D9-416F666E3526.jpeg
 
By Martin Maranja Masese kupitia twitter:

Mfano mwingine rahisi kwa wengi. Lengai Ole Sabaya wakati amehukumiwa kwenda gerezani miaka 30, alikata rufaa mahakama kuu. Wakati rufaa yake inasikilizwa aliendelea kutumikia adhabu yake gerezani, hadi kesi ilivyoamuliwa vinginevyo. Kwanini COVID-19 ni wabunge hadi leo? UHUNI.
 
Sasa anaandika alaf anacheka , tatizo la hiki chama linaanzia hapa , unarelease information sensitive kama hii alaf kimzaha tena without any vivid evidence.... Wenzao CCM wapo serious Kias cha kutoana roho , nyie kucheka Cheka tuu
 
Hii ni Kesi nyingine itakayovutia umma mpana wa Tanzania

TOKA MAKTABA :

16 May 2022
Dodoma, Tanzania

Spika anadai kuwa anajiweka katikati mpaka haki ipatikane mahakamani.

Maamuzi ya chama yanatakiwa yaheshimiwe.
1. Wasiingie bungeni mpaka kesi yao washinde.
2. CDM hawataruhusiwa kupeleka wengine bungeni hadi hukumu itolewe.

Tulia, acha kudhalilisha taaluma.

Au hauna watoto watakaokuja kuso maamuzi yako wakuone ndezi?

Think twice
 
Meya wa zamani wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob kupitia ukurasa wake wa Twitter ametoa malalamiko yake akidai Serikali inacheza mchezo wa Kimafia kuhusiana na kesi ya Rufaa ya Wabunge 19 walifukuzwa uanachama CHADEMA ila bado wakiendelee kuingia Bungeni.

Ameandika “Serikali inacheza Mchezo wa Kimafia sana. Tumetuma Mawakili Mahakama Kuu, pale Ofisini Kwa Msajili Wa Mahakama Wakakama Hakuna Kesi ya Kina Mdee. Mawakili wetu wakajifanya Wameondoka Kumbe wamejificha. Wamekuta Saa 8:00 Kesi ya kina Mdee Inasikilizwa Kwa Jaji Mgeta Kimya Kimya”

Katika tweet nyingine iliyofuata, akaandika “CHADEMA wala Mawakili wa CHADEMA hawajapewa Summons ya Mahakama Kuhusu Kesi ya Kina Mdee inayosemekena Kufunguliwa Siku Nne nyuma. Masijala ya Mahakama Wanasema hawaijui. Kumbe Walipanga isikikizwe Upande Mmoja Kimya Kimya,Mchana huu. Mungu Mkubwa Adv Malya ameingia ndani tayari“

Ameongeza “Wakili Peter Kibatala na Wakili John Malya tayari wapo ndani ya Chumba Cha Mahakama Mbele ya Jaji Mgeta 😂😂😂😂😂. Hawakujua sisi Wahuni pia Kuliko wao, Mahakama Kuu ilikuwa na Makachero wa Chama tangu Saa 1 Asubuhi. Mikakati ya Kusikilizwa Kesi Upande Moja bila CHADEMA imefeli“

View attachment 2226791
View attachment 2226796
View attachment 2226798
Dawa ya moto ni moto,dawa ya moto ni moto,dawa ya moto nimotooo🚶*2
 
Hawa watu hakuna sababu ya kukutana nao ikulu, ni kudanganyana na kupotezeana muda tu, wanajua fika ndani ya nafsi zao hawako tayari kwa maridhiano.

Watu wapo katikati ya meza ya mazungumzo halafu bado wanaviziana mahakamani!! huu ni upuuzi wa kiwango cha juu sana, Chadema na Mbowe msiende ikulu.
 
Hawa watu hakuna sababu ya kukutana nao ikulu, ni kudanganyana na kupotezeana muda tu, wanajua fika ndani ya nafsi zao hawako tayari kwa maridhiano.

Yani mpo katikati ya meza ya mazungumzo halafu bado mnaviziana mahakamani!! huu ni upuuzi wa kiwango cha juu sana.

Exactly, hata kitendo cha Mbowe kwenda mwenyewe ikulu hakina afya yoyote kwa chama.
 
CCM ni tatizo sana nchi hii, hawaaminiki. Samia pamoja na jitihada zake zote lakini naamini kuna baadhi ya mambo huko chamani kwao hawezi kuyamua mwenyewe, anaongozwa na wanaume.
Ndugu denoo, unadhani hapa bado positivity inahitajika kwenye ku-deal nao? wafuasi wa upinzani pengine wako sahihi kuwa negative na ccm kutokana na mambo kama haya
 
Meya wa zamani wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob kupitia ukurasa wake wa Twitter ametoa malalamiko yake akidai Serikali inacheza mchezo wa Kimafia kuhusiana na kesi ya Rufaa ya Wabunge 19 walifukuzwa uanachama CHADEMA ila bado wakiendelee kuingia Bungeni.

Ameandika “Serikali inacheza Mchezo wa Kimafia sana. Tumetuma Mawakili Mahakama Kuu, pale Ofisini Kwa Msajili Wa Mahakama Wakakama Hakuna Kesi ya Kina Mdee. Mawakili wetu wakajifanya Wameondoka Kumbe wamejificha. Wamekuta Saa 8:00 Kesi ya kina Mdee Inasikilizwa Kwa Jaji Mgeta Kimya Kimya”

Katika tweet nyingine iliyofuata, akaandika “CHADEMA wala Mawakili wa CHADEMA hawajapewa Summons ya Mahakama Kuhusu Kesi ya Kina Mdee inayosemekena Kufunguliwa Siku Nne nyuma. Masijala ya Mahakama Wanasema hawaijui. Kumbe Walipanga isikikizwe Upande Mmoja Kimya Kimya,Mchana huu. Mungu Mkubwa Adv Malya ameingia ndani tayari“

Ameongeza “Wakili Peter Kibatala na Wakili John Malya tayari wapo ndani ya Chumba Cha Mahakama Mbele ya Jaji Mgeta 😂😂😂😂😂. Hawakujua sisi Wahuni pia Kuliko wao, Mahakama Kuu ilikuwa na Makachero wa Chama tangu Saa 1 Asubuhi. Mikakati ya Kusikilizwa Kesi Upande Moja bila CHADEMA imefeli“

View attachment 2226791
View attachment 2226796
View attachment 2226798
Kama hawa 'expelled 19 CHADEMA MP's' ndiyo 'Hirizi' ya Spika, CCM na Serikali yao kuendelea Kutawala na Kukubalika na Watanzania na Jumuiya ya Kimataifa tuambiwe tafadhali.
 
hili bongenyanya sijui linaongeaga nini.chadema kwa wapuuzi hawa mlionao nyie mgombee ruzuku tu,
chama hiko kina watu hawako serious.
upumbavu mwingi sana kupoteza muda tu.
 
Back
Top Bottom