Kama Halima aliahidiwa kazi ya kukopwa miloni 30+ ili akimbie nchi. Hawa wapinzani vinara Lissu na Lema wamepewa kazi ya malipo kiasi gani?

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,657
2,252
Kama ni binadamu wa kawaida, mchambuzi mzuri wa siasa na mwanaharakati huwezi Sasa kukosa mashaka juu ya Mwenendo wa Freeman Mbowe tokea awali kabisa.

Uwenda anajenga upinzani bandia na wanaharakati hutumika kuwapumbaza tu.

Anasema alikuwa tayari kumuajili mdee South je kafanya hivyo kwa Lema na Lissu.

Kama yeye anafungwa anatoka anapinga Serikali kwanini hakimbii nchi zaidi ya kuwatengenezea mipango wenzake wakimbie.

Kuna tetesi ilikuwa awatoe nje Sugu na Henche pia. Je hizi harakati zake anaweza kuzifanya pekee yake. Je atakimbiza wangapi.

Je kwanini Sasa asipiganie Lissu na Lema kurudi kupigania harakati.

Kuhusu mdee Mbowe anajua wazi kuwa alikuwa msiri wake. Na kwa mujibu wake mwenyewe ndie aliyemuandaa kuwa Mwenyekiti baada yake je ndie aliyemuunganisha na utawala pia. Kwasababu kwenye mkutano wa wanawake bawacha alisema mrithi wake atatokea huko na bila Shaka NI mdee na si mwingine.

Naona Sasa Mbowe anatumika kuwavunja moyo wanaopambana zidi ya covid na lazima ashinde sababu NI bingwa wa siasa
 
Nilipata mashaka Mbowe alivyoenda kimya kimya ikulu mara mbili tena peke yake.

Kwenye mkutano akapiga marufuku watu wake wasijibu hoja za CCM na ACT.

Mbowe na Mdee wamecheza mchezo mchafu ukiwa na akili utauona wazi.
 
Back
Top Bottom