Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,703
- 218,232
Halima Mdee na Wasaliti wenzake 18 , akiwemo dada yangu Sophia Mwakagenda , Waliingizwa bungeni kiharamia na serikali ya Tanzania, serikali ya Tanzania na mfumo wake waliamua kufanya hivyo ili KUIDANGANYA JUMUIYA YA MADOLA NA MATAIFA WAFADHILI kwamba uchaguzi wa 2020 ulikuwa shwari na ndio maana bungeni wamo wapinzani, kuna hela nyingi ambazo Jumuiya ya Madola inatoa kwa nchi zenye mabunge ya kidemokrasia, hili ndio lengo la serikali ya Tanzania kumnunua kwa gharama kubwa na ya KUTIA AIBU Halima Mdee na wenzake.
Job Ndugai binafsi hakuwa na uwezo , mzuka wala utashi wa kufanya hivyo, Ndugai siyo aliyemtoa Nusrat Hanje Jela ili akaape , hiyo ni serikali yenyewe na mfumo wake, ndio maana hata baada ya Dr Magufuli kufariki, Yale Makubaliano ya Mfumo na Wasaliti kupewa Ukuu wa Wilaya yamedumishwa (nadhani mnanielewa), tena na Rais mpya kwa sababu serikali ya CCM haiendeshwi na hawa mnawaona wamevaa manguo ya kijani, wapo waendeshaji
Kwahiyo Halima Mdee na wenzake hawataondolewa bungeni kwa vile hawakuingizwa na Ndugai.
Nakaribisha maswali.