CHADEMA imetema 19, CCM ilitema 29

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Sep 20, 2021
3,214
3,587
Chadema inahitaji damu mpya kwy uongozi. Mbowe haiwezi CCM.

Mbowe ni mtoto wa Nyerere kwa ubatizo na mzee Mbowe alikuwa mwandani wa Mwl.

Mzee Mbowe aliwekeza vya kutosha kujenga TANU/CCM km ilivyokuwa akina Bomani, Dosa Aziz, Sykes, Rupia, Tabith Kombo, Aziz Ali, Amri Abeid nk.

Chadema kufa kbs ni ngumu ila tu kinaweza kudhoofu.

Kwa account hiyo hapo juu ujuwe kuwa wewe ukiwa mfuasi wa Chadena basi ni mfuasi wa CCM kupitia agano la familia ya mzee Mbowe na ile ya Mwl.

Hivyo ndivyo siasa zinavyoendeshwa duniani, kinyume chake ni uongo.

Zitto amethibitisha ukweli huu, Chacha Wangwe amethibitisha, Kitila Mkumbo amethibitisha, Mashinji amethibitisha, Slaa amethibitisha, Bob Makani alijuwa, Kubenea amethibitisha, Kafulila amethibitisha, Mdee et al sasa nao wamethibitisha km wenzao hao.

Ukiwa CCM wewe ni Chadema pia, ukiwa Chadema wewe ni CCM pia.

Hivyo State Attorneys kutetea Mdee et al ni sawa na kutetea CCM tu.

Labda tungeshangaa kwanini CCM haikutumia State Attorneys kuwatetea wanachama 29 waliofukuzwa 2016 na CCM Shinyanga kwa tuhuma za kuhujumu uchaguzi wa 2015 (Leo Ofisi ya AG ije iwatetee wanachama wa Chadema?!)

Hakuna cha Myahudi wala Myunani (CCM na Chadema ni sarafu moja tu yenye pande mbili tofauti).

Najuwa post inajeruhi maini lkn inakumbusha historia inayofishwa; ili tuzinduke.
 
DHANA.
 
Back
Top Bottom