Spika Tulia amekemea tabia ya Madereva wa wabunge ya kuwasha magari pindi wawaonapo mabosi wao wakitoka ukumbini kabla hata hawajamaliza kusalimiana
Spika Tulia amesema tabia hiyo inasababisha...
Haya ni maamuzi ya Mahakama Kuu mbele ya Jaji Mgetta kuwa
1. Maombi ya zuio la muda la kina Halima Mdee kuendelea kubaki na Ubunge wao hadi kesi yao itakapokubaliwa.
2. Kesi ya msingi...
Hapo awali Mara baada ya uhuru mpaka mwishoni mwa miaka ya 2000 , balozi wa nyumba kumi alikua na nafasi katika mfumo wa utawala.
Alisaidia sana katika maswala ya ulinzi na usalama.
Muda umefika...
Huwa natafakari Sana kuhusu thamani ya Watu wasio waadilifu, upanda ghafla na kushuka ghafla. Safari ya utajiri wa Rugemalila na Seth unifanya nijiulize haya yote twajilimbikizia ya Kazi Gani kama...
Rais Samia Suluhu Hassan yupo Mkoani Tabora kwa ajili ya kushiriki Ufunguzi wa Barabara ya Nyahua – Chany, leo Mei 17, 2022.
Rais Samia ameanza kuongea
=====
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
Lengo...
Nimeona tamko la Mbowe kumtafutia mbunge mmoja ajira ya mshahara wa milioni 34.
Hiki chama asilimia kubwa hawana ajira, wanaganga njaa, kwanini hawatafutii ajira hawa?
Vijana wa chadema, hata...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma Mhe. Mariam Ditopile amesema Rais Samia ndani ya muda mfupi madarakani anazidi kuwaumbua wale wote waliombeza kuhusu uendelezaji wa miradi ya kimkakati Jiji la...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imetenga Tsh. Trilioni moja kwa ajili ya mikopo kwa mabenki na taasisi za fedha kwa riba ya asilimia tatu ili mabenki na taasisi hizo zitoe mikopo kwa...
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya kilimo kuwa ni moja ya sekta anazozipa kipaumbele zaidi katika kuiletea maendeleo Tanzania.
Kwa kutambua umuhimu wa kilimo kwa uchumi wa nchi yetu na kuzingatia...
Mkurugenzi wa Chadema mh John Mrema amesema Halima Mdee na wenzake walifungua kesi ya kupinga kuvuliwa uanachama 12/05/2022 na wao Chadema waliopewa taarifa 16/05/2022 siku ya kesi
Kumbe...
Mbunge anapopoteza sifa ya kuwa mbunge, whether kwa kufukuzwa uanachama au kwa sababu nyingine yoyote, hastahili kuendelea kuwa mbunge kwa siku moja zaidi.
Na hali hiyo inaendelea hadi hapo...
CCM yampa ‘tano’ Samia kuongeza mishahara, kikokotoo
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka akiwa katika jengo la mtambo wa kuzalisha gesi kwenye hospitali ya rufaa ya mkoa wa...
Kampeni ya kummaliza kisiasa JK, Spika na wabunge kadhaa "wakorofi", imeanzishwa rasmi na Karamagi & Co. (Lowassa na Rostam) kupitia magazeti yao maalum ya AHSUBUHI NJEMA, TAZAMA, NYUNDO, TAIFA NA...
NA MWL BAKARI MADAYA 0628087968
Salaam Ndugu Watanzania wenzangu*!
Naomba Leo nami niandike kidogo kuhusu watu wenye uwezo wa kusema lakini hawasemi.
Ndiyo, ninaandika hapa katika Muktadha wa...
Mungu atusaidie,
Huyu mpemba mwenzangu tumepigwa.
Halieleweki analo ongea.
Haeleweki anakokwenda.
Anakotupeleka ndio giza gizaaaa.
Bora mmanyema ameshafanya kazi benki ya dunia anajua uchumi wa...
Leo habari iliyo juu ni uamuzi wa spika Tulia Ackson wa kuwaruhusu Halima na wenzake kuendelea kuwa wabunge licha ya kutokuwa wanachama wa chama chochote cha siasa, jambo ambalo ni kinyume na...
Msafara wa Royal Tour ulibahatika kufika New York Marekani katika hoteli ya the Ritza Carlton.
Gharama kwa chumba cha kawaida kama ukikaa kwa siku zaidi ya moja ni dola mia saba sawa na shilingi...
Moja ya tatizo kubwa linalotuchelewesha watanzania kupiga hatua ni kwamba; Watu waovu si tu kwamba wana ujasiri wa ajabu lakini pia wanachukua hatua wakati watu wema/wenye fikra nzuri n.k wana...
Habari wana JF
Nimejaribu kufuatilia kwa undani sana suala la shilingi ya Tanzania ukilinganisha na dollar pendwa ya Kimarekani ,kwanza tumsikilize huyu kiongozi kuhusu shilingi ya Unguja...
Inasemekana tayari vyama vya upinzani vimeanza kumnyemelea mwanasiasa nguli na mbunge wa jimbo la Kongwa mh Ndugai ili awe mgombea wao wa urais 2025.
ACT wazalendo inatajwa kumtamani zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.