Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

CCM Shinyanga 2016 ilifukuza 29. CCM taifa 2017 ilifukuza wafuatao: Sophia Simba Jesca Msambatavangu Erasto Kwilasa Ramadhani Madabida Christopher Sanya Omari Awadhi Ally Msuya Makolo Laizer...
0 Reactions
0 Replies
546 Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewafutia kesi ya Uhujumu Uchumi na kuwaachia huru wafanyakazi watano wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba nchini Tanzania (TMDA) akiwemo Mkurugenzi wa Usalama wa...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Kwa mwenendo huu wa kisiasa ni dhahiri sasa anahitajika kupatikana Mwenyekiti mpya wa kuitoa CHADEMA kutoka sehemu moja kwenda mbele zaidi . Fikra zilezile na mawazo yaleyale ya Mwenyekiti wa...
5 Reactions
76 Replies
3K Views
Nadhan hapa tunapasa kuweka itikadi zetu za vyama ,dini na kabila pembeni. kuna kipindi tunapaswa kusimama kama watanzania tukaweka mambo mengine yote mifukoni mwetu tukabaki na utanzania...
20 Reactions
361 Replies
43K Views
Akizungumza katika kipindi cha Jicho letu ndani ya habari mwandishi nguli Pascal Mayalla amewataka TCRA kuwafuatilia wale wanaoandika uchafu kwenye mtandao wa Twitter na kama wameshindwa basi...
35 Reactions
232 Replies
33K Views
Msemaji wa TAKUKURU, Mussa Misalaba amesema, kwa sasa taasisi yake iko kwenye uchunguzi wa kina kuhusu kashfa za RICHMOND, EPA na Rada na pindi itakapokamisha uchunguzi wake watalitaarifu taifa...
7 Reactions
103 Replies
13K Views
KUGOMBANA NA WAZUNGU NI KUGOMBANA NA UTAJIRI. Anaandika Robert Heriel. Kutokana na Elimu duni ya Watanzania waliowengi kuhusu mambo ya kihistoria, wengi hawana Uelewa Dunia imetoka wapi, ilipo...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
SHAIRI: NURU IMESHINDA GIZA MTUNZI: Kalamu Yangu Nuru ndogo ya kurunzi, 'meshinda giza totoro, Tena mbele ya viunzi, vyenye miba na chochoro, Wameshinda wanagenzi, si zana siyo michoro, Giza...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
This is too much au ana Kazi maalumu huwa anaenda kufanya mrejesho.. Kila Rais wa CCM lazima akakutane na Lipumba Ikulu.. Wajuzi mtueleze ,bwana Prof huwa anafuata nini? Tija ya mazungumzo yake...
2 Reactions
42 Replies
2K Views
Kuna mwenzetu mmoja hapa Jukwaani hujifanya yeye hana upande na kwamba huchambua mambo kwa haki bila kuegemea upande wowote na kwamba alipata ufaulu wa kiwango cha A katika somo mojawapo la kozi...
39 Reactions
97 Replies
8K Views
1. Weka vizingiti vingi kuuza chakula nje ya nchi iwe vigumu wafanyabiashara kuuza nje 2. Usipandishe mishahara au madaraja ya watumishi kwa kipindi kirefu. 3. Ongeza makato ya bodi ya mikopo...
1 Reactions
11 Replies
733 Views
Amani kwenu Wana JF! Kichwa cha habari chajieleza. Nchi nyingi za ulaya zimeamua kuondoa sheria ama kanuni za kiafya za kujilinda na uviko. Kwa sasa hakuna barako, hakuna kujifungia na kujitenga...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Hili ndio swali ninalojiuliza hasa ninapotafakari nguvu kubwa inayotumika kuwalinda Halima Mdee na wenzake baada ya chama chao kuwavua uanachama. Kama wamechukua mikopo(bila shaka wamechukua)...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanabodi, Hivi karibuni, tume shuhudia viongozi mbali mbali wa vyama vya upinzani wakifanya mazungumzo na Rais Samia katika mchakato mzima utakao hakikisha kwamba kuna maridhiano kati ya chama...
0 Reactions
2 Replies
855 Views
Hatuwezi kuwa na Mahakama ambayo kazi yake inasikilizia Serikali badala ya kufuata sheria. Kesi za msingi zinachukuwa miaka mingi pasipo ulazima. Ni wakati wa huyu Professor kurudi kufundisha na...
11 Reactions
36 Replies
3K Views
Maoni huru. Kwa miaka Zaidi ya sita sasa nimejaribu kufuatilia kwa kina mwenendo wa Serikali na manufaa ya kila sekta kwa nchi na taifa Kwa ujumla. Kwa utafiti wangu, NaweZa kusema Kwa dhati...
0 Reactions
3 Replies
750 Views
Baadhi ya Wabunge 19 walio na mgogoro walikuwa wanakubalika Sana mtaani. Toka wapate Ubunge wameondoka majimboni na kwenye mitandao ya kijamii, wamefifia kwenye bunge na mtaani. Leo Bungeni...
6 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa watoto wadogo na wasiojua mambo wanadhani hayati Magufuli alianza kuwa mkali alipokuwa rais wa nchi tu wakati ukweli ni kwamba Magufuli alikuwa mkali na mfuatiliaji tangu akiwa naibu waziri...
23 Reactions
79 Replies
5K Views
JK made a personal request to ambassador retzer for a management training of his closest aides, named january makamba and david jairo. This is why he hesitated remolving him from office. .and...
0 Reactions
93 Replies
12K Views
Kesho ni kumbukumbu ya kutimiza mwaka 1 toka Raisi wa 5 wa Tanzania John Pombe Magufuli alipo fariki dunia, Magufuli alikuwa ni M-Socialist wa mlengo mkali wa Shoto na mwanamagauzi mkubwa wa...
5 Reactions
43 Replies
3K Views
Back
Top Bottom