johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,591
- 141,394
Wakili msomi Edward Kufakunoga amesema Halima Mdee amekula kiapo kwa umakini mkubwa.
Mosi ni kweli kabisa Halima Mdee aliteuliwa na NEC kuwa mbunge wa viti maalumu
Pili Halima Mdee wakati anateuliwa alikuwa mwanachama hai wa Chadema
Tatu Halima Mdee wakati anaapishwa mbele ya Spika alikuwa mwanachama hai wa Chadema
Wakili msomi Edward anasema itawapasa Chadema kufungua kesi endapo Spika atapuuzia maamuzi ya Baraza kuu la Chadema wakithibitisha uhalali wa maamuzi yao lakini kea meals 2020 Halima Mdee aliteuliwa akiwa na sifa zote.
Kila chama kina utaratibu wake wa kumpendekeza majina ya Wabunge watarajiwa wa viti maalumu lakini mwisho wa siku NEC huangalia uhalali wa uanachama kea muhusika.
Kikwete alimpendekeza James Mbatia kuwa mbunge wa viti maalumu lakini NEC ilimteua kwa uanachama wake wa Nccr amesema
cc: Pascal Mayalla na.Mselewa