WikiLeaks: Kikwete aliwaombea Jairo na January Makamba mafunzo US

status quo

Member
May 6, 2011
82
95
JK made a personal request to ambassador retzer for a management training of his closest aides, named january makamba and david jairo. This is why he hesitated remolving him from office.
.and Requests Capacity-Building for State House Staff
--------------------------------------------- ----------
3. (C) President Kikwete also raised a personal request
with the Ambassador: his desire to send his personal staff
for management training in Washington D.C. He explained, "I
would like to send some of my aides and maybe some press
officials to the U.S. to gain greater experience on how to
manage a President's Office." President Kikwete named two of
his assistants, Januari Makamba and David Jairo, whom he
believed would benefit from such training. Ambassador Retzer
responded positively, assuring President Kikwete that the
Embassy would look explore every possibility for facilitating
such a training program. While on the topic of fostering
government-to-government exchanges, Ambassador Retzer
informed President Kikwete about an upcoming Congressional
staff delegation, visiting Tanzania on August 8, to explore
the potential for establishing a U.S-Tanzanian legislative
exchange through the Inter-parliamentary exchange program.
 
bushman

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,414
1,250
tutaona mengi na tutawajua wachawi wetu wengi tu..............subiri tu
 
Nyambala

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
4,469
1,195
Mkuu nilisoma hiyo cable sikumbuki majina kutajwa unaweza kuweka link??????
 
Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,414
2,000
Mbona wengi sana wanasomeshwa na nchi za kigeni under institutional capacity building programmes.

Nadhani kila linalotoka WikiLeak sio scandal. Haya tuendelee kujifunza kupembua ili kutenganisha mchele na mchanga, kokoto, mawe; na pia tuendelee kujifunza kupepeta kutenganisha mchele na pumba.
Mkuu, hiyo ni kweli kabisa! Ila tunajua na kufahamu hiyo "management training" ilivyompatia institutional capacity Bw. Jairo!!! Need we say more katika kutenganisha pumba na mchele..!!
 
Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,945
0
Mbona wengi sana wanasomeshwa na nchi za kigeni under institutional capacity building programmes.

Nadhani kila linalotoka WikiLeak sio scandal. Haya tuendelee kujifunza kupembua ili kutenganisha mchele na mchanga, kokoto, mawe; na pia tuendelee kujifunza kupepeta kutenganisha mchele na pumba.
Unapokuwa ris rais hata kama ni kuomba msaad basi uombe msaada kama rais. Sasa msaada wa kusomesha watu wawili si hata Ikulu inaweza kulipia.

Ningeelewa kidogo kama raisi aliomba msaada kusomesha maofisa wa ikulu na ikulu ndogo zote nchini eg watu 100. Yaani awe anaomba kitu kama rais sio kama yeye ndiye myikulu wa magogoni. Watu wawili kuna haja ya msaada.??????!!!!!!
 
bi mkora

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
262
0
JK made a personal request to ambassador retzer for a management training of his closest aides, named january makamba and david jairo. This is why he hesitated remolving him from office.
.and Requests Capacity-Building for State House Staff
--------------------------------------------- ----------
3. (C) President Kikwete also raised a personal request
with the Ambassador: his desire to send his personal staff
for management training in Washington D.C. He explained, "I
would like to send some of my aides and maybe some press
officials to the U.S. to gain greater experience on how to
manage a President's Office." President Kikwete named two of
his assistants, Januari Makamba and David Jairo, whom he
believed would benefit from such training. Ambassador Retzer
responded positively, assuring President Kikwete that the
Embassy would look explore every possibility for facilitating
such a training program. While on the topic of fostering
government-to-government exchanges, Ambassador Retzer
informed President Kikwete about an upcoming Congressional
staff delegation, visiting Tanzania on August 8, to explore
the potential for establishing a U.S-Tanzanian legislative
exchange through the Inter-parliamentary exchange program.
Tutajua yoote ya ikulu mwaka huu.Msemaji wa ikulu shuhuli yake ni tete safari hii.
 
Vakwavwe

JF-Expert Member
May 16, 2009
505
195
Tutajua yoote ya ikulu mwaka huu.Msemaji wa ikulu shuhuli yake ni tete safari hii.
yeah! amepata ya kuyasemea maana kuwa msemaji halafu unakosa ya kusema inakuwa nouma kidogo.
this is nice ataachana kuwapiga madongo wagombea ubunge wa upinzani huko Igunga,othwerwise angewasem sana.
 
myhem

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
932
195
Mbona wikileaks mwezi huu wametukomalia hivyo? au kuna mchezo mchafu unafanyika kwa mgongo wa wikileaks?
 
Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
39,114
2,000
Jamani kaazi ya wazungu Libya inakaribia kuisha hizi chokochoko isjekuwa wanataka kuhamia hapa kwetu wafanye kama wanayofanya Libya na kwingineko! Najiuliza kuwa kwanini mambo haya yote yatolewa kwa wakati huu? mmmh MUNGU tulinde wana wako
 
Kidzude

JF-Expert Member
Jul 14, 2011
4,431

Hivi mmeshawatambue Rebels au bado mwajifanya vichwa ngumu. Subirini tu mtaona kuwa Asange anareport pentagoni.
 
ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,663
2,000
Jamani kaazi ya wazungu Libya inakaribia kuisha hizi chokochoko isjekuwa wanataka kuhamia hapa kwetu wafanye kama wanayofanya Libya na kwingineko! Najiuliza kuwa kwanini mambo haya yote yatolewa kwa wakati huu? mmmh MUNGU tulinde wana wako
ndio uache kulalamika maisha magumu sawa mkuu..
 
LINCOLINMTZA

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
1,640
0
Unapokuwa ris raiag hata kama ni umba msaad basi uombe msaada kama rais. Sasa msaada wa kusomesha watu wawili si hata Ikulu inaweza kulipia.

Ningeelewa kidogo kama raisi aliomba msaada kusomesha maofisa wa ikulu na ikulu ndogo zote nchini eg watu 100. Yaani awe anaomba kitu kama rais sio kama yeye ndiye myikulu wa magogoni. Watu wawili kuna haja ya msaada.??????!!!!!!
Kw nini asiombe kujengewa chuo cha mafunzo hayo hapa nchini?
 
LINCOLINMTZA

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
1,640
0
Mbona wikileaks mwezi huu wametukomalia hivyo? au kuna mchezo mchafu unafanyika kwa mgongo wa wikileaks?
Fungua pazia la wikileaks uone kilichopo nyuma yake. Nafikiri USA wamesoma udhaifu wetu na sasa wameanza kazi yao. Kumbuka raisi wetu alikuwa wa kwanza kwenda kumuona Obama, 2009. Haya mambo yamefanyika kabla ya hapo, je kuna nini sasa?
 
HNIC

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
1,898
2,000
hivi yule mwanamke mmarekani mweusi ambaye alikuwa anashinda Ikulu anaitwa nani?

Nadhani alikuwa anafanya kazi good works international na Andrew Young
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom