Mbowe kwanini unaivuruga CHADEMA?

Mbowe kwanini unaivuruga CHADEMA?

omtiti

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2019
Posts
1,021
Reaction score
1,591
Ni kuombe uwe muwazi kabisa juu ya hili sakata la kina Mdee,kifupi unalijua kiundani na wewe ndio master mind.

Unajifanya uko serious na hutaki mzaha lakini wabunge hawa wanabaraka zako .

Nakumbuka 2015 ulianza kuiharibu CHADEMA kwa kumleta Lowassa.

Kifupi wewe siasa zako si za kuisaidia nchi bali ni za kujali maslahi yako binafsi na wafuasi wako wachache.

Kupitia sakata hili unaumbuka tena ,mbaya zaidi wengi ya wafuasi wako hili hawawezi litambua, endelea kuwaburuza
 
Ondoeni uhuni wenu huku. Stupid propaganda
Ni kuombe uwe muwazi kabisa juu ya hili sakata la kina Mdee,kifupi unalijua kiundani na wewe ndio master mind.
Unajifanya uko serious na hutaki mzaha lakini wabunge hawa wanabaraka zako .

Nakumbuka 2015 ulianza kuiharibu chadema kwa kumleta Lowassa,
Kifupi wewe siasa zako si za kuisaidia nchi bali ni za kujali maslahi yako binafsi na wafuasi wako wachache.
Kupitia sakata hili unaumbuka tena ,mbaya zaidi wengi ya wafuasi wako hili hawawezi litambua ,endelea kuwaburuza
 
Ni kuombe uwe muwazi kabisa juu ya hili sakata la kina Mdee,kifupi unalijua kiundani na wewe ndio master mind.

Unajifanya uko serious na hutaki mzaha lakini wabunge hawa wanabaraka zako .

Nakumbuka 2015 ulianza kuiharibu CHADEMA kwa kumleta Lowassa.

Kifupi wewe siasa zako si za kuisaidia nchi bali ni za kujali maslahi yako binafsi na wafuasi wako wachache.

Kupitia sakata hili unaumbuka tena ,mbaya zaidi wengi ya wafuasi wako hili hawawezi litambua, endelea kuwaburuza
Siasa za Samia ndo xinaijali nchi,
Hii nchi ina Matahahira wengi sana
 
Ni kuombe uwe muwazi kabisa juu ya hili sakata la kina Mdee,kifupi unalijua kiundani na wewe ndio master mind.

Unajifanya uko serious na hutaki mzaha lakini wabunge hawa wanabaraka zako .

Nakumbuka 2015 ulianza kuiharibu CHADEMA kwa kumleta Lowassa.

Kifupi wewe siasa zako si za kuisaidia nchi bali ni za kujali maslahi yako binafsi na wafuasi wako wachache.

Kupitia sakata hili unaumbuka tena ,mbaya zaidi wengi ya wafuasi wako hili hawawezi litambua, endelea kuwaburuza
Kwanini watu wa CCM hasa Sukuma gang ndiyo wako busy sana kumsakama Mbowe?
Je kwa nini CHADEMA wanamkubali sana Mbowe?
Mbowe anafanya kitu gani kinachosababisha awe kero sana kwa CCM na akubalike sana kwa CHADEMA?
CCM ina agenda gani na Covid19? Kwanini inawapigania sana?

Nimejikuta najiuliza maswali,[emoji848][emoji848].
 
Mbowe ndiye amewapa akina Mdee Hela ya kufungulia kesi, yaani full mazingaombwe
 
Ni kuombe uwe muwazi kabisa juu ya hili sakata la kina Mdee,kifupi unalijua kiundani na wewe ndio master mind.

Unajifanya uko serious na hutaki mzaha lakini wabunge hawa wanabaraka zako .

Nakumbuka 2015 ulianza kuiharibu CHADEMA kwa kumleta Lowassa.

Kifupi wewe siasa zako si za kuisaidia nchi bali ni za kujali maslahi yako binafsi na wafuasi wako wachache.

Kupitia sakata hili unaumbuka tena ,mbaya zaidi wengi ya wafuasi wako hili hawawezi litambua, endelea kuwaburuza
Stupid propaganda, umefeli tayari, Rubbish
 
Sema wewe unachokijua kuhusu hilo suala ili tupime uzito wa hoja zako, wacha kuleta hoja za kufikirika hapa ili uwadanganye wasiojielewa.
 
Tujipe muda mkuu, mwenyewe nimeshtuka.Mbowe anajua kila kitu,anatufanya wajinga sisi wafuasi wake.
 
Ni kuombe uwe muwazi kabisa juu ya hili sakata la kina Mdee,kifupi unalijua kiundani na wewe ndio master mind.

Unajifanya uko serious na hutaki mzaha lakini wabunge hawa wanabaraka zako .

Nakumbuka 2015 ulianza kuiharibu CHADEMA kwa kumleta Lowassa.

Kifupi wewe siasa zako si za kuisaidia nchi bali ni za kujali maslahi yako binafsi na wafuasi wako wachache.

Kupitia sakata hili unaumbuka tena ,mbaya zaidi wengi ya wafuasi wako hili hawawezi litambua, endelea kuwaburuza
Unadhani siasa za nani ni za kusaidia nchi wakati ufisadi kila mahali.Wewe kama unashughuli zako endelea kufanya unipatie kipato siasa za Afrika ndivyo zilivyo.
 
Back
Top Bottom