Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Najua mazingira hayakuwa rafiki kutokana na aina ya utawala uliokuwepo ila ingesaidia hili suala kuingia kwenye record. Kughushi ni jinai, sasa mtu kafanya jinai hujaenda polisi ili...
10 Reactions
102 Replies
6K Views
Amani ya Mungu ipitayo amani zote iwe nanyi wapendwa, Naomba kujuzwa zinakopatikana ofisi za chama cha Umoja (Umoja Party) Ninawiwa kushirikiana nao kusukuma mbele gurudumu la kuzijenga upya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hebu soma maagizo hayo hapo chini Hello Gavanas naomba kupata taarifa kwa kila kijiji ambao tayari wameshafikishiwa Rangi za kuandika No za nyumba ktk mitaa yenu. Kazi hii ya kuandika no...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Sio wabunge na mawaziri, Bali hadi wasomi na Maprof wetu wote, kazi yao sasa si kushighuka kutatua matatizo yetu kama nchi! Kazi yao kubwa ni kuunanga utawala wa miaka mitano iliyopita na kumsema...
0 Reactions
1 Replies
677 Views
Huu ni wakati Chadema na hasa Mbowe wanatakiwa kuwa makini sana sana na kinachoendelea ndani ya chama chao. Changamoto zake hazisababishwi na CCM bali na sauti za ndani zinazoongezeka kutilia...
2 Reactions
19 Replies
921 Views
Hapa ni kabla hajatumia ile technic inayotumiwa na wengi ya kumtukana Mbowe na CHADEMA kisha kupewa ulaji na kulambishwa asali, jamaa keshasahau kwa sasa anawaona vijana wasio na ajira wanaotafuta...
9 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa mara ya mwisho nyongeza ya kima cha chini kwa pensheni za wastaafu ilitekelezwa july mwaka 2015 kwa agizo la Waziri Wa Fedha Mh. Saada Mkuya kutoka ths.50,000/= hadi tsh.100,000/=. Kwa...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Mbunge wa Kigoma Mjini, Kilumbe Shabani Ng'enda wakati akichangia mjadala wa Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 ameiomba...
6 Reactions
43 Replies
5K Views
Kwa siku za karibuni hapa JF kuna mjadala mkali sana unaendelea kuhusu taaluma ya ufamasia na maduka ya dawa hapa Tanzania. Kupitia mijadala hiyo, nimejifunza mambo kadhaa ambayo hapo kabla...
5 Reactions
51 Replies
5K Views
Kila anapoitisha tu Press tegemea yafuatayo kutoka Kwake.... 1. Kuongea kwa Kufokafoka kuwazidi hata akina Fid Q na Chidy Benz. 2. Kutemea sana Mate ( Kulowesha ) Vipaza Sauti vya Watu kama...
19 Reactions
39 Replies
7K Views
Harakati za kudai Katiba Mpya Tanzania ni harakati za muda mrefu sana, takribani miaka 30 iliyopita baada ya Tanzania kuingia rasmi katika mfumo wa vyama vingi. Watu wengi wamefungwa, kuteswa na...
1 Reactions
0 Replies
629 Views
Inaonekana hizi risasi zinazotumika kwenye silaha zetu nyingine ni fake au zina tatizo flani. Mara kadhaa imetokea Polisi wanapiga Risasi Juu kutawanya watu. Yenyewe inakata kona na kwenda...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Idadi kubwa ya walimu waliokuwa hawana barua Za uteuzi kutoka Tamisemi , walipangiwa vituo vipya vya kazi hawajaripo kwenye vituo vyao vya Kazi vipya. Walioripoti kwenye vituo vipya walirudishwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kiufupi nimejionea Mengi Sana hapa Tz kuhusu siasa zetu . Ni takribani mwongo Mmoja tangu Kupata ufahamu wa siasa . Wanaofadika Ni wao tu kila mwaka Hivyo kuwasikiliza Ccm na Vyama vingine...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Korea Kaskazini inapambana kupunguza maambukizi ya Covid kwa raia wake ambao idadi kubwa hawajachanjwa, bila utumiaji wa dawa bora za kukinga virusi. Mwanzoni mwa 2020, nchi ilifunga mipaka yake...
0 Reactions
1 Replies
829 Views
RAIS SAMIA ANAONYESHA UTAWALA BORA KWA VITENDO. Na Elius Ndabila 0768239284 Moderator ninakumbuka kuna mtu hapa jamii forum aliwahi kuuliza, nani anajua anakotupeleka Rais Samia? Ninaomba mtag...
1 Reactions
5 Replies
977 Views
Prof Assad alitumika kimkakati kuidhoofisha serikali ya Rais Magufuli hakuwa mzalendo kama ambavyo wengi waliaminishwa. Juma Assad (Personal) aliamua kukitumia kitu chake cha kuwa CAG Katika...
10 Reactions
231 Replies
24K Views
Wakati unaposoma maoni humu JF kuhusu serikali na miradi inayotekelezwa na serikali,unaweza kudhani watoa maoni ni raia wa nchi mbili tofauti,maana kuna upande usioona jema lolote na pia kuna...
98 Reactions
276 Replies
38K Views
Si kweli kwamba vijana wa nchi hii hupata mikopo bali mikopo yote ihusuyo vijana hugawanwa na Viongozi wa chama tawala na vijana wao nao ni wale tu walio na connection. Katambi acha dharau na...
10 Reactions
59 Replies
6K Views
Nianze kwa kumpongeza Prof Adolf Mkenda kwa kazi nzuri aliyoifanya Baada ya walimu walio kuwa wamejificha kwenye Ofisi za Elimu msingi, sekondari na TSD ndani ya Halmashauri kutimuliwa sasa Idadi...
4 Reactions
86 Replies
8K Views
Back
Top Bottom