Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Chadema haija anza kwenda ikulu Leo wewe tumbili toka Kikwete akiwa madarakani wakiingia ikulu na kutoka lakini ktk uchaguzi CCM walikipata Cha Moto mpka Kikwete akawambia nyumbu wa Lumumba kuwa...
0 Reactions
0 Replies
508 Views
Wanabodi, Japo nchi yetu ni masikini, nchi wafadhili wa maendeleo waliokuwa wanatusaidia kwa misaada mbalimbali, wao ndio huamua wasaidie nini. Enzi za Mwalimu Nyerere, kuna wakati tulikosana na...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna watu wanasema hakuna sababu ya Chadema kukutana na Samia kwa mwenendo wa tunayoyaona including issue ya Halima et al. To me, kwa mazingira ya leo baada ya Mwendazake, ambaye alikuwa Jiwe...
10 Reactions
43 Replies
3K Views
Na huu ni mtizamo Wadau msijenge chuki pale ambapo nitakuwa nimewagusa watu wenu wa moyoni. 1. Mwigulu Nchemba 2. January Makamba 3. Nape Nnauye 4. Godbless Lema 5. Kigwangalla 6. Paul Makonda 7...
3 Reactions
11 Replies
903 Views
Katika mabunge ambayo yalisisimua sana katika historia ya nchi yetu ni bunge la tisa likiongozwa na hayati Samuel Sitta(Speed and Standards). Watanzania wengi tulikuwa tukilifuatilia sana na hata...
0 Reactions
4 Replies
974 Views
Moja kwa moja kwenye mada.. CAG abaini wizi na ufisadi kwenye mradi wa Ujenzi wa Daraja la Kigongo-Busisi.. Wazalendo uchwara waje fasta maana 👇 === Miaka miwili kabla ujenzi wa daraja la...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Pamoja na kuwa mpaka sasa hakuna mpinzani makini na uhakika walio makini wamejificha na wanasubiri 2025 ikaribie na watajitokeza. Lakini wakurugenzi wadhibitiwe kuchakachua matokeo na tum ya...
8 Reactions
110 Replies
6K Views
Mwenyekiti Mbowe, kwa yanayoendelea nchi hii na kwa reaction ya wana-CHADEMA kufuatia maamuzi ya Spika kuwalinda Mdee na Wenzake, naiona hatari ya Rais Samia kukugombanisha na viongozi wenzako wa...
12 Reactions
64 Replies
5K Views
Siku chache tangu kuripotiwa kwa taarifa za kuvunjwa kwa Kanisa la T.A.G lililopo Sebleni, Unguja ripoti kamili ya kilichotokea imetolewa kutoka upande wa kanisa pamoja na upande wa Serikali ya...
1 Reactions
243 Replies
16K Views
Bosi wa zamani wa ATCL, David Mataka amehukumiwa kwenda jela miaka minne ama kulipa faini ya Sh milioni 8 baada ya kukutwa na hatia ya matumizi mabaya ya ofisi na kusababishia shirika hasara ya Sh...
9 Reactions
164 Replies
21K Views
Ulikuwa ni mwanasheria mzuri na mpaka sasa ni mwanasheria mzuri sana. Ulikuwa ukipigania haki za watanzania kwa weledi mkubwa sana. Kumbuka sakata la wananchi wa Bulyanhulu ulivyowasaidia...
6 Reactions
42 Replies
3K Views
Naomba kuuliza wataalamu, je kuna aina ngapi Za halmashauri kwenye serikali za mitaa?
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Mabomu yanalipuka Gongo la Mboto polisi.... Taarifa zaidi kufuatia. UPDATES: (by Invisible) 1. Hali ni mbaya jijini Dar, nyumba zinabomoka, watu wanakimbia ovyo! 2. Barabara ya Nyerere...
1 Reactions
1K Replies
126K Views
Tanzania tangu kuasisiwa kwa mfumo wa vyama vingi miongo mitatu iliyopita, Kanda yote ya kaskazini imeanguakia kwenye mikono ya Upinzani na wapinzani, Hayati Rais Dkt Benjamin William Mkapa...
14 Reactions
140 Replies
11K Views
Kwa sasa yeye ndio ameshikilia injini ya nchi hivyo ukimya wake unatia shaka. Mara ya mwisho ilisemekana yupo Washington USA wakati wa uzinduzi wa royal tour. Lakini toka wakati huo hajasikika...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Nimeshangazwa na kitendo cha Chadema kubeba ajenda zinazoshughulikiwa na Kikosi kazi na kuzipeleka Ikulu. Mbowe na Mnyika wataitwa na Kikosi kazi ili kutoa mawazo yao wawe na subira. Rais Samia...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Kama kweli wewe sio gaidi na tuhuma hazikuwa na uzito wa kukutia hatiani unadhani kwa nini kesi ilifikia hatua ya wewe kujitetea? Umesahau kuwa mahakimu na majaji huwa wanafanya kazi ya kuamua...
13 Reactions
74 Replies
5K Views
Viongozi wa kitaifa wa NCCR MAGEUZI wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti Zanzibar Ambar Haji Khamis wamehudhuria mkutano ulioandaliwa na TCD ambao mgeni rasmi ni Rais Samia Suluhu Hassan, leo Aprili...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kashfa ya Ufisadi wa Escrow ni doa kubwa sana kwa Kiongozi na mtumishi wa Umma yeyote. Ubabe na visasi ni sehemu ya tabia ya Maswi achilia mbali kashfa ya Escrow. Inakuwaje mtuhumiwa huyu na...
7 Reactions
127 Replies
22K Views
Back
Top Bottom