polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,362
- 5,808
Hebu soma maagizo hayo hapo chini
Hello Gavanas naomba kupata taarifa kwa kila kijiji ambao tayari wameshafikishiwa Rangi za kuandika No za nyumba ktk mitaa yenu.
Kazi hii ya kuandika no inatakiwa kufanyika kwa siku 2 tu yani Leo Ijumaa hadi Jumapili saa sita usiku ndio mwisho.
Ushauri wangu shirikianene na
1. Viongozi na wanachama wa CCM ktk kuandika no
2. Walimu wote na wanafunzi haswa wa selondari
3. Jeshi letu la Akiba ni muhimu sana kufanya kazi hii
4. Scout wote washirikI.
5. Wananchi wote
N.B kazi hii ni ya Usiku na mchana ili kufikia lengo.
KAZI HII NIYA KUJITOLEA MAGAVANA
*********************************
Tunafuatilia ni halmashauri gani iliyo toa maelekezo hayo hapo juu tutaiweka hapa soon.
Updates:
Baada ya kufuatilia kwa makini tumepewa taarifa kwamba ujumbe huo ni kutoka halmashauri ya wilaya kilosa ambapo wanafunzi na walimu wamefanya kazi hadi usiku wa jana kwa kujitolea na maeneo mengine kazi inaendelea wakitumika wanafunzi na walimu kuandika namba za makazi huku baadhi ya watu walio pewa kazi ya ya kuandika anuani za makazi hawajalipwa pesa zao.