Mbunge ataka Jeshi liachane na nyimbo ambazo zikisikilizwa, mawazo ya vijana yanaonekana yapo kwenye ngono

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,441
7,780
Mbunge wa Kigoma Mjini, Kilumbe Shabani Ng'enda wakati akichangia mjadala wa Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 ameiomba Wizara kutazama upya nyimbo za hamasa zinazoimbwa jeshini wakati wa mazoezi kuwa ziwe za kuhamasisha uzalendo na kusifia Waasisi wa Taifa na kuachana na nyimbo ambazo anadai kuwa ukizisikia tu unajua mawazo yao yako kwenye ngono.

😅😅😅
 
jeshini ni sehemu ya ajabu sana. ni sehemu mtu akienda anatakiwa kufanyiwa service ya ubongo wake, watakuvuruga hadi uwe vile wao wanataka. kuna watu hawajawahi kusikia mtu mzima akitukana tusi kubwa, kule utalisikia. kuna wanawake hawajawahi kuchuchumaa hadi harage zionekane, ila kuna wakati anaweze kujikuta sehemu zake za siri hazina umuhimu saana kufichaficha. nilikuwa namwangalia rais wa ukraine jana, nikamwonea huruma, kwa kazi za jeshi, jamaa alikuwa mchekeshaji tu, akili yake haina stress, leo hii, ameona maiti za kila namna, ameona ukatili wa kila namna, amepata stress za kila namna, akirudi mtaani yule hawezi kuwa kama yule wa awali. ndo mambo ya jeshi hayo. ila tunawashukuru, wanatulindia nchi (though Mungu ndio mlinzi namba moja kwetu).
 
Na akili zangu sizielewi sijui pombe!sijui bangi?x2
Anaringaringa!anaringaringa kama amepimax2
 
Lile tizi bila morali huchomoki. Ila nyimbo zingine hapana. Juzi nimekutana usiku saa saba na polosi mafunzoni nyimbo zao zilikuwa

Nina nyege nina nyege.....wanaitikia We tomba tu.

Nataka kunya ila naogopa....we kunya tu.
Aseeh 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom