Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Chadema kesho watawasilisha barua rasmi ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake 18 kwa Spika wa binge na Msajili wa vyama vya siasa Aidha Halima Mdee na wenzake wanayo haki ya kuiomba...
6 Reactions
67 Replies
6K Views
Dodoma. Baadhi ya wabunge kati ya 19 waliofukuzwa uanachama na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wakiingia bungeni tayari kuendelea na shughuli za Bunge jijini Dodoma, leo Ijumaa Mei...
17 Reactions
302 Replies
22K Views
Kama kuna vijana wako huko Upinzani wakidhani kuna siku Watachukua hii Nchi na kuingia Ikulu basi wanajidanganya sana labda baada ya miaka 50 huko baadhi ya watu wakiondoka . Kuna sababu mbili tu...
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Mwaka 2015 ni mtu kichaa peke yake asiyetambua biashara iliyofanyika kati ya Chadema na Mh Edward Ngoyai Lowassa, aliyekuwa anategemewa kugombea Urais kupitia Chadema alipigwa chini na kijiti...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Mbunge Salome Makamba ametaka serikali kuwalinda wateja wa simu za mkononi ambao wanabanwa na mikataba isiyo ya usawa, kuwalazimisha kutumia salio za vifurishi huku walaji hao wakiwa hawana...
1 Reactions
9 Replies
880 Views
Huyu mbunge angepata hii nafasi , angefanya makubwa. Biashara mtandaoni zinazidi kufa , kwa sababu ya Bei ya bundle. Vijana waliokuwa wakiingiza 24 Mil / month kwa kupitia online, hakuna hata mmoja
2 Reactions
2 Replies
703 Views
Aug 5. 2017 Museveni alikuja Tanga kuweka jiwe la msingi, baadaye JPM alienda Uganda kusaini, September 2020 Museveni alikuja Dar kutia saini, Museveni akaja tena Chato kusaini, April 11, 2021...
17 Reactions
112 Replies
10K Views
Huyu afisa elimu ana mapungufu mengi nashangaaa kwanini Serikali inamucha mpaka leo amekuwa kero kubwa kwa watumishi anaowangoza mpaka basi.Mara kwanza alikuwa afisa elimu yule aliehamishiwa...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
WATUMISHI WA UMMA NCHINI TUNAKUSHUKURU RAIS SAMIA, TUDAI TIJA KAZINI NA KURA 2025 Sisi watumishi wa umma nchini tunasema haya kwa sababu umetufanyia makubwa, umetuonesha upendo, umeonesha...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Huyu mheshimiwa ndio amebaki wilaya ya Songwe baada ya God father wake kupelekwa Tabora. Watu wa Tabora chukueni tahadhari zote kuwania ameanza kuwahamisha watumishi wake vipenzia aliokuwa...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Tuwakatae Mamluki waliojikusanya Katika Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani; ni kikundi cha wahuni kinachotumika na wanaharakati Na; Tanzania Diaspora waishio Marekani (USA) Yanayoitwa...
4 Reactions
76 Replies
5K Views
Watanzania wengi Wana sifa kuu Tatu ambazo sio nzuri kwa afya ya Taifa lolote:- 1. Wavivu 2. Wezi na sio waaminifu 3. Wanapenda sana starehe /maisha mazuri kuliko kufanya kazi. Sasa kwa sifa...
0 Reactions
10 Replies
893 Views
Hivi ni nani anahudumia watanzania kwa huduma za ubalozi? Nani anafanya kazi za Tanzania huko Malawi? Polepole anazunguka tu humu nchini wakati hapo Malawi hata kwa basi la Sauli au Super Feo anafika
7 Reactions
47 Replies
7K Views
Kwa mara ya kwanza wataalamu wazawa wa magonjwa ya moyo na wazibuaji wa mishipa ya damu ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wamezibua mishipa miwili iliyokuwa inapeleka damu kwa...
1 Reactions
2 Replies
716 Views
Tanzania imebarikiwa kuwa na mchanganyiko wa hali ya hewa inayoakisi karibu mabara yote duniani. Yapo maeneo yenye mvua hadi kero, maeneo yenye baridi, sehemu zenye mvua chache na kadhalika. Mbali...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo waziri wa habari Napa wakati akisoma bajeti ya wizara amesema wizara imetenga bajeti ya kuchapisha picha ya raisi nakala 12794. Si Jambo baya Ila kwa wakati huu sjo sahihi, serikali mara...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Leo huko kwenye mkutano wa raisi naona kila waziri anasema eneo lake ila kila baada ya sentensi wanamshukuru raisi kwa kibwagizo Cha tokea Uhuru haijawahi kutokea. Huwa mara zote najiuliza raisi...
10 Reactions
46 Replies
3K Views
Imeelezwa kwamba Wakuu hawa wa Mikoa na Wilaya enzi za awamu ya 5 walimsifia sana Mh Rais wa Wakati huo na kumpamba sana , Lakini jambo hilo halifanyiki kwenye awamu ya 6 , ambako Rais wa sasa...
7 Reactions
70 Replies
5K Views
Hotuba ya Waziri wa Ulinzi na JKT, Dkt. Stergomena Tax wakati akiwasilisha Bajeti ya Wizara yake kwa mwaka wa Fedha 2022/2023 Bungeni, Mei 19, 2022. HOTUBA YA DKT. STERGOMENA LAWRENCE TAX...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Back
Top Bottom