CHADEMA katika enzi mpya

CHADEMA katika enzi mpya

joely

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
1,055
Reaction score
576
Huu ni wakati Chadema na hasa Mbowe wanatakiwa kuwa makini sana sana na kinachoendelea ndani ya chama chao.

Changamoto zake hazisababishwi na CCM bali na sauti za ndani zinazoongezeka kutilia shaka kinachoendelea. Kama Mbowe asipokuwa makini ktk mazungumzo basi ajiandae kwa changamoto kubwa sana.

Ni wazi kuwa mtazamo wa wanachama wengi bado ni wa kiharakati zaidi, na pengine hawaamini katika mazungumzo.

Sauti za kuhoji juu ya mazungumzo na pengine wafusi wa CHADEMA kutaka hoja zao zote zitekelezwe ni kinyume cha taratibu za mazingumzo ya meza ya duara. Wanachadema wawe tayari kutoa na kupokea. Watatoa nini na watapokea nini hayo ni ngumu kujua kwa sasa ila ni vizuri kujiandaa kisaikolojia kujua hawatapata vyote.

Maswali kama yuko wapi Ben Saanane, Nani Alimpiga Lissu risasi ni ya muhimu lakini nani anategemea yatajibiwa kwa ufasaha? Ndiyo Inawezeka likajibiwa kama sehemu ya miujiza isiyo ya kawaida ya maisha.

Kwenye mazungumzo hatafutwi mshindi bali kuna hekima zake, kuna weak side sasa aliye weak ni nani mimi sijui.

KIKUBWA MAZUNGUMZO HAYO YATUPATIE MWANZO MPYA, KUNA WANAO MLAUMU SANA MAGUFULI LAKINI MAGUFULI ASINGEWEZA KAMA WALIOMTANGULIA BAADA YA KUYAJUA MADHAIFU YA KATIBA NA SHERIA ZETU WANGECHUKUA HATUA YA UPENDO KUYABADILI.

MAMA HATA ASIPOFANIKIWA SANA KA RAIS ANAYONAFASI YA KUTENGENEZA TAASISI ZENYE NGUVU ZITAKAZOTUEPUSHA NA UKATILI MBELE YA SAFARI.

HAKUNA MSHINDI KATIKA MAZUNGUMZO
 
Screenshot_20220521-095318.jpg
Bobi Wine, mgeni rasmi Baraza Kuu Chadema
 
Kwenye "chama chao" lakini weye unazisikia sauti nyingi?Sijui ukiwa wapi?Wape muda hao akina Mbowe na viongozi wenzake.Mrejesho ndiyo utatoa miongozo ya kuongea.Sikupangii lakini subira ni bora zaidi.
 
Unadhani utaenda ikulu utoke mifuko haina nyekundu nyingi?
Yawezekana ndiyo mawazo yako kwamba kila aendae ikulu anachota mapesa.Sijui wanayakuta mezani au getini?Sijajua.Hata hivyo,tusipotoshe watu.Siyo kila aliyeingia "guest house" alienda "kulala"!Anaweza kuwa ni muhudumu ameenda kufanya usafi tu.Zingatia "tu"!
 
Hakuna siri ya watu wawili, mwisho wa siku tutajua tu nini kimenenwa, then tutaongea, kupongeza, kulaumu au kushauri.
 
Yawezekana ndiyo mawazo yako kwamba kila aendae ikulu anachota mapesa.Sijui wanayakuta mezani au getini?Sijajua.Hata hivyo,tusipotoshe watu.Siyo kila aliyeingia "guest house" alienda "kulala"!Anaweza kuwa ni muhudumu ameenda kufanya usafi tu.Zingatia "tu"!
Wewe endelea kuandamana, sisi tunakula kwanza, na msitusumbue na makatiba yenu
 
Msipotoshe. Rudi kwenye hotuba ya Mbowe kwenye baraza kuu la CHADEMA alishasema wazi kwamba suala la Katiba Mpya halina mjadala hata kwenye maongezi yake na Rais Samiah.
 
Chadema wakubwa zenu wakilambishwa asali muwe na adabu.

Lipumba juzi tu alikuwa ikulu analamba asali, leo zamu ya Mbowe na wenzake.
 
Mwenyekiti atafute namna ya kutuliza kitenesi cha Lema. Yeye anaonekana ni mtu mwenye theories nyingi sana za dhahania(conspiracy theories), kiasi kwamba anafanya kazi ya Mwenyekiti kukimold chama katika direction ya mazungumzo iwe ngumu.
Mwenyekiti anaagiza siasa za kutukana watu ziachwe, Lema yeye yuko busy mitandaoni kwa Maria Space na Clubhouse kumzodoa rais samia etc
 
Lema hana Siasa za kistaarabu zisizo na mitafaruku, mwenyekiti akikaza kamba Lema anapoteza relevancy katika siasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom