Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hili ni swali ambalo Wajuzi wa Protokali mnatakiwa mtueleze ili sisi wengine tuelewe. Rais Samia , ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM, yuko kwenye ziara ya kikazi huko Tabora, akizindua miradi...
17 Reactions
110 Replies
8K Views
Uzalendo tafsiri yake nyepesi ni kutokuvunja sheria za nchi yako. Chanzo cha uzalendo kutoweka ni umasikini ambao unatia watu tamaa siyo tu ya kulimbikiza mali kwa wastani na ziada, bali kutafuta...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Taarifa iliyosambazwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , inaonyesha kwamba Ule Mkakati wa Chama hicho wa Kuhamasisha Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi sasa Umewashwa kwa kiwango...
25 Reactions
166 Replies
10K Views
Rais Samia Suluhu Hassan akiwaapisha viongozi wateule Ikulu Chamwino, Dodoma, leo Jumamosi Mei 21, 2022 Pia soma > Uteuzi: Rais Samia afanya teuzi mbalimbali za Wenyeviti wa Bodi/Baraza la...
4 Reactions
15 Replies
4K Views
Kudos! Rais Samia Much appreciation to our teachers Rais Samia amuapisha Bi Khadija kuwa kamishina wa utumishi wa uma Bi Khadija amemfundisha Rais Samia somo la hesabu na Kiingereza akiwa...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Let assume tukawa na tume huru, Dola akabaki kulinda uchaguzi na tume ya uchaguzi ikabaki kusimamia uchaguzi. KWENYE ulingo WA siasa akasimama Mama Samia kama mgombea Urais na Mpango Makamu huku...
4 Reactions
62 Replies
4K Views
Namshukuru mungu kwamba Samia anaoonesha Nini maana ya uongozi. Uongozi siyo kuniona wewe ndo Bora zaidi kuliko wenzako, kujisifu na kujigamba kila unapopata jukwa na kuwaponda wenzako kila...
18 Reactions
79 Replies
4K Views
Mzee Wassira amesema yeye na mstaafu Kikwete walitia akili ya ziada kuwashawishi Chadema kuachana na siasa za vurugu. Ikumbukwe kuwa sera iliyojificha ya Chadema ni kufanya nchi isitawalike na...
9 Reactions
25 Replies
2K Views
1- Je, CHADEMA Ina amini katika FALSAFA za Mwalimu Nyerere ? 2- Ni upi msimamo was CHADEMA kuhusu Mahakama ya KADHI? 3- Ni upi msimamo wa CHADEMA kuhusu HALI YA MUUNGANO? - Wanaunga mkono...
0 Reactions
23 Replies
1K Views
Kosa kubwa lililofanywa na kundi hili (lililoanzisha hiki chama) ni kuweka picha ya mtu aliyeumiza watu wa makundi tofauti tofauti nchi hii kwenye kofia na tshirt za chama chao. Mtu waliyemuweka...
11 Reactions
23 Replies
2K Views
Wapendwa nawasalimu kwa jina la Jamhuri, kazi iendelee Binafsi nimekuwa nawaza sana kuhusu utawala wa huyu Mama yetu SSH namna anavyopiga makasia kuirudisha Tz ktk utawala wa kisheria, haki na...
4 Reactions
9 Replies
892 Views
Haiwezekani hali ilivyongumu alafu watu wanachukulia mzaa maisha ya watanzania. Taifa lina rasilimali lukuki lakini umaskini umetamalaki kila kona ya Tanzania. Watu wanaishi maisha ya kubangaiza...
2 Reactions
48 Replies
2K Views
Kuna watu wanauliza hivi maono ya mama ni yapi? nani anayejua Rais Samia anakotupeleka? hivi nyie mnamuelewa huyu mama? mbona kama hana vision? n.k haya ni maswali ambayo yamekuwa yakiulizwa na...
12 Reactions
73 Replies
4K Views
21 April 2022 Kigamboni, Dar es Salaam Tanzania MRADI MKUBWA WA MAKAZI ULIOGEUKA MAGOFU WATEMBELEWA ILI KUONA UKUBWA WAKE Mradi huu mkubwa wa mfuko wa Jamii wa NSSF ulianza ujenzi mwaka 2014...
10 Reactions
80 Replies
14K Views
Kuna haja gani kuwa na siasa za kisanii huku wananchi wanamatatizo ya maji, afya elimu na miundombinu? Inasaidia nini kuwa karibu na wananasiasa ambao wataonyesha kuwa mna mahusiano nao mazuri...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Wengi wameshaanza kugundua kuwa tatizo lilikuwa nini kwa kuwa wamegundua pia kuwa profesa Mussa Assad si kweli kuwa ni smart kama ambavyo mara ya kwanza hata mimi nilidhani. Ni mtu mropokaji...
21 Reactions
106 Replies
7K Views
Manispaa ya Kinondoni yalalamikiwa kucheleswesha Urasimishaji na kutoa Hati Miliki
0 Reactions
2 Replies
692 Views
Najua mazingira hayakuwa rafiki kutokana na aina ya utawala uliokuwepo ila ingesaidia hili suala kuingia kwenye record. Kughushi ni jinai, sasa mtu kafanya jinai hujaenda polisi ili...
10 Reactions
102 Replies
6K Views
Amani ya Mungu ipitayo amani zote iwe nanyi wapendwa, Naomba kujuzwa zinakopatikana ofisi za chama cha Umoja (Umoja Party) Ninawiwa kushirikiana nao kusukuma mbele gurudumu la kuzijenga upya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom