Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, aongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Serikali ya JMT leo imekutana na Mabalozi na wakuu wa Taasisi za kimataifa kuwafafanulia kinachoendelea Ngorongoro Serikali ikiongozwa na Waziri Mulamula, waziri Ndumbaro na Naibu waziri Masanja...
3 Reactions
43 Replies
3K Views
Ukweli lazima usemwe awamu ya tano ilijitahidi sana kushughulikia migogoro ya ardhi kwa kiwango kikubwa sana na pongezi zimuendee hayati Magufuli pamoja na wasaidizi wake hasa waziri Lukuvi na...
2 Reactions
8 Replies
922 Views
Katika Wabunge zaidi ya 200 waliojadili hotuba ya Waziri Mwigullu Nchemba had sasa ni Watatu tu ndio sijawasikia wakizungumzia Ngorongoro ambao ni Dr Kimei, Tarimba Abbas na mh Mpina Ndio...
0 Reactions
1 Replies
577 Views
Napenda kupongeza jeshi la polisi kwa kushirikiana na wananchi kuwatimua vijana zaidi ya 400 waliokuwa wamekusanywa na Q NET wakipewa ndoto za utajiri wa haraka na wao kuombwa kiasi cha milioni 5...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Huu mwaka ni mbovu kwa wananchi tangu dunia iumbwe, chama cha CHADEMA kinapitia wakati mgumu sana, viongozi wakuu, viongozi wa Kanda na mikoa wamepigwa gundi mdomoni kuongea hawawezi tena na...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Wanabodi, Tanzania ni nchi moja ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yenye sehemu mbili, Tanzania Bara na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar, yenye watu wa kutoka iliyokuwa Jamhuri ya...
6 Reactions
97 Replies
13K Views
Sina haja ya kubwabwaja sana, matendo na vitendo vinavyotendwa katika hujma mbalimbali humu Tanzania ni vya kusikitisha na kuhuzunisha sana. Mauaji ya ovyo ovyo, watu kukatwa mapanga mchana...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Nadhani hata kama tuna katiba ya Kijamaa still bado Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuna cha kwenda kujifunza kwa tume ya Kenya. Ninayo yaona kwa tume ya Uchaguzi ya Kenya; 1. Urudishwaji wa fomu-...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Hii ndio taarifa ya leo iliyoripotiwa na gazeti la Raia Mwema , ni kwamba DPP ameamua kukata rufaa kwa ile kesi ya kwanza iliyowashangaza wengi ambayo pamoja na Sabaya kufungwa miaka 30 Jela ...
16 Reactions
80 Replies
7K Views
Tarehe 20 Juni, 2022 katika mjadala Bungeni, Mbunge wa Simanjiro Mh. Christopher Olonyokie Ole Sendeka alijenga hoja nzuri sana ya kisheria kuhusu mgogoro uliopo katika eneo la Loliondo na Sale...
16 Reactions
31 Replies
4K Views
Kuna msemo unasema kwamba usimuamushe aliyelala ukimuasha utalala wewe. Na hawa watanzania waliolala leo hii hawajui haki zao ipo siku wataamka. Hawatataka upuuzi. Hawatataka ujinga unaoendele...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Charles Enock Msonde kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) - (Elimu) katika hafla fupi iliyofanyika...
0 Reactions
2 Replies
922 Views
Habari Wana JF, Juzi kwenye hotuba ya bajeti ya Serikali iliyosomwa na Waziri wa fedha, Waziri alitamka kufahamu kwamba kufuatia kutokuwepo kwa ajira za moja kwa moja kwa Wahitimu, Wazazi wamekua...
3 Reactions
6 Replies
879 Views
Dickson Ernest Maimu na wenzake wote wamefutiwa rasmi mashitaka yao yote leo na DPP katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Oktoba mwaka jana, alifutiwa kesi moja ya Utakatishaji Fedha zikabaki...
7 Reactions
34 Replies
4K Views
Mbunge wa Jimbo la Kyela, ndugu Mlaghila, aliyefahamika kama mbunge bubu, hatimaye leo amesikika akisema neno bungeni. Bali jambo ambalo Mbunge huyo amelisema bungeni halihusiani na Maendeleo ya...
7 Reactions
18 Replies
2K Views
VURUGU zinazotokana na maamuzi ya kuhama na kupisha utunzaji endelevu wa hifadhi ya Ngorongoro katika wilaya ya Loliondo mkoani Arusha ni mtihani mwingine wa kiutawala ambao sasa unausumbua...
1 Reactions
0 Replies
477 Views
Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Madola hatimaye unafanyika Jijini Kigali, Rwanda baada ya kuahirishwa mara mbili (2020 na 2021) kwa sababu ya Ugonjwa wa COVID-19. Mkutano huo...
0 Reactions
4 Replies
983 Views
Ni Suala la muda mfupi ujao, haya niyasemayo yatadhihirika huko site. CCM ya wanyonge imepigwa kitu kizito na CCM ya wanamtandao. Hili sio la kuogopa kusema,labda Moderators wanifanyie yao kwa...
12 Reactions
122 Replies
8K Views
Kwa namna hali inavyoendelea ndani ya hiki chama kikongwe Afrika, ni dalili mbaya sana inayotishia uwepo wake ndani ya medani za utawala katika siku za usoni. Kuna viashiria kadhaa vinavyopelekea...
9 Reactions
55 Replies
4K Views
Back
Top Bottom