Mimi siwaelewi chadema kabisa na watanzania wanaoshabikia hili
Baada ya uchaguzi wa mwaka 2020 CHADEMA walitangaza kutokubali matokeo na kuamua kususia kila kitu kilichotokana na uchaguzi huo kwa...
Habarini,
Kumekuwa na tabia ya viongozi wa serikali hususani DEDs wa Halmashauri za Wilaya, Mameneja, Wakurugenzi, nk kufanya manunuzi mapya kwa pesa taslimu hasa kipondi hiki cha mwezi Juni huku...
Hii ilikua 2020 wakati wa kampeni za urais wabunge na madiwani pale Tunduma. Ilikua hivi, wakati ngambo tu pale, hatua chache toka alipokua anafanyia kampeni pale kwenye mji wa nakonde pana maji...
Dr Akandunduma anasema mfumo wa sheria wa Tanzania una mapungufu mengi ndio sababu Katoliki na Bakwata wana Mahakama zao
Dokta anasema Halima Mdee na wenzake wamevuliwa uanachama na Chadema hivyo...
Mjadala wa Katiba umekuwa ni suala la muda mrefu sana na watanzania walio wengi wanalichukulia ili suala kimasihara masihara lakini ukweli ni kwamba tukiendelea na hii Katiba muda si mrefu...
Akihojiwa kwenye kipindi cha kinagaubaga ndugu Maxence Melo amesema walikuja watu wasiofahamika wakitaka kumchukua ili wakamhoji kwanini amefanya mahojiano na Balozi wa Umoja wa Ulaya, lakini...
Kama CCM wenyewe wamekubali kuwa sasa hivi katiba ni hitaji la kitaifa na huu ndio wakati muafaka basi sasa ndio wakati wa kuweka mambo sawa.
Tuna bunge kibogoyo linalotafuna pesa za walipa kodi...
She lacks authority in her voice. When addressing the nation, her utterances in low tone are frequently interrupted by convulsive coughing. This is a sign of nervousness, weakness and lack of...
MAMBO 10 YANAYOWEZA KUFANYA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUPEWA TUZO YA NOBEL
Wataalam wa mambo tunajua kuna vigezo vingi vinavyozingatiwa ili kutolewa tuzo ya Amani ya Nobel. Yanayowekwa hapa ni...
Wananchi hawana mbadala wa kuipachikia CCM ila ukweli ni kuwa hawaitaki tena. Sio wazee wala vijana.
Tozo, ufisadi upendeleo umekithiri ndani ya CCM huku raia wakiwa hoi kimaisha.
ACT Wazalendo...
Kikao cha Baraza Kuu la Chadema kinachoendelea Mlimani City kimetokewa na JAMBO KUBWA ndani yake , baada ya Chama hicho kutambua Mchango wa Mawakili wa Chama hicho wanaojitolea Kufa na Kupona...
1. 0 UTANGULIZI
Mheshimiwa Spika, awali ya yote nimshukuru Mungu kwa zawadi ya maisha ya wazazi wangu na pia nichukue nafasi hii kuwashukuru sana waheshimiwa wabunge, Chama cha Mapinduzi...
CHADEMA kupeleka majina ya wabunge Viti Maalum Bungeni pamoja na kuanza kuchukua ruzuku ambayo wameigomea kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa.
Bunge kuridhia Halima Mdee na wenzake kuondolewa bungeni...
Jumuiya ya Wanasheria Tanganyika (TLS) ni jumuiya ya wanataaluma wa sheria wa Tanzania Bara iliyoanzishwa kwa sheria ya Bunge Namba 307 ya mwaka 1954. Kazi kuu ya jumuiya hii ni pamoja na kutetea...
Lengo la thread hii ni kutambua mchango wa wakili msomi Peter Kibatala kiukwel anafanya kazi nzuri sana katika mapambano ya haki na utawala wa sheria hapa kwetu Tanzania
Hivo ningependa muungane...
Ulikuwa umejijengea heshima ndani na nje ya nchi, ndani na nje ya bunge, tambua nguvu na heshima yako ilijengwa na sapoti ya wananchi waliokuzunguka hasa wanachama na viongozi wenzako wa Chadema...
Kamati Kuu ya Chadema imewapa siku 30 Wabunge wa Viti maalumu waliovuliwa uanachama za kuomba radhi.
Huu ni muda mwafaka kwao wa kutulia na kutafakari kwa kina kilichotokea, wasiharakishe kutoa...
Mifano iko mingi, najua Chadema unaipenda na Chadema inakupenda pia tatizo ni wewe kujiona unauwezo kukizidi chama, viongozi wako unawaita wahuni?
Jishushe, bado naiona future yako ndani ya...
Mgogoro wa Loliondo ni tofauti na Mgogro uliopo ndani ya eneo la Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro.
Salome Makamba yeye anaona ni moja. Hajui kutofautisha.
Sendeka alichangia kuhusu mapori...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.