Mjadala unaoendelea bungeni ni Bajeti kuu au Uhamisho wa Wamasai wa Ngorongoro

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,897
141,835
Katika Wabunge zaidi ya 200 waliojadili hotuba ya Waziri Mwigullu Nchemba had sasa ni Watatu tu ndio sijawasikia wakizungumzia Ngorongoro ambao ni Dr Kimei, Tarimba Abbas na mh Mpina

Ndio nauliza huu ni mjadala wa Wizara ya Maliasili na Utalii au ni mjadala wa Bajeti kuu ya Serikali?
Mungu ni mwema wakati wote
 
Umesahau kwamba kila mbunge anamshukuru raisi (mhimili mwingine) lakini huwezi kusikia raisi anasifiasifia wabunge. Sasa hivi kila mmoja anajipitishapitisha kwa mwenyekiti wa chama. Haya ndo madhara ya kuwa na wabunge wa chama kimoja.
 
Back
Top Bottom