Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Yule Mwamba wa siasa za Tanzania , Freeman Mbowe , ambaye pia anafahamika kama Mtemi Isike , Laingwanaan ama Ustaadh Aboubakar Mbowe, Leo amekutana na Kamati ya...
Kwa mtazamo wangu, naona kabisa Mama Samia hakupaswa kuwa kiongozi mkubwa wa kitaifa. Kauli zake, mwenendo na maono yake vinadhihirisha wazi.
Ni kiongozi ambaye kwa kauli zake na maamuzi yake...
HAI YA SAASHISHA MAFUWE NI HAI YA KIDEMOKRASIA, ARUHUSU CHADEMA WAFANYE SIASA ZAO BILA KIZUIZI
Kihistoria Leo ukomavu mkubwa wa kisiasa ulionyeshwa na Mbunge wa Hai Saashisha Mafuwe ni wakuigwa...
Imagine ishu ya ngorongoro; halafu ndani ya Bunge yupo:
1. Tundu Lissu
2. John Mnyika
3. Godbless Lema
4. Peter Msigwa
5. John Heche
6. Sugu
7. Freeman Mbowe
8. Ezekiel Wenje
9. Halima Mdee (enzi...
Tangu Awamu wa 1 Kenya alijitanabaisha kama Silent enemy wa Tanzania na hii lilisababishwa na tofauti za kiitikadi/kiuchumi baina ya Mataifa haya mawili
Ugomvi wa Kenya na Tanzania ulianza mara...
Baada ya Ole Sendeka kumtaka Lissu kurudi darasani eti shule yake bado sana.
Katika pitapita zangu sehemu fulan nikaona mdau mmoja akisema kua mbona yeye alipata div 0 pale Old Moshi Sec...
Please please Dk Slaa hivi sasa hali sio nzuri kabisa. Taifa letu litaibiwa sana.
Wewe una bahati ya kuwa na wanyetishaji. Ndio maana huko nyuma uliibua madudu makubwa.
Sasa hivi kuna harufu...
Mkuu wa mkoa wa Mara Ally Hapi amesema Ubinafsi na Uroho wa Madaraka wa Watu wa Mara ndio sababu mkoa huo kukosa maendeleo na kuzidi kuwa maskini
RC Bali amewataka wakazi wa mkoa huo kubadilika...
Tarehe 1 January 2022 dola moja ya Marikani (USD) ilikuwa sawa na Rubles 77 za Russia. Baada ya vita kati ya Russia na Ukraine mwezi Februari 2022, Russia iliwekewa vikwazo (sanctions) lukuki za...
Aliyekuwa mkurugenzi wa halmashauri ya Jiji la Arusha, Dk John Pima (44) na wenzake wawili leo Juni 22, 2022 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha wakikabiliwa na kesi nyingine ya...
Kwa hakika sie CCM, hasa tuliokuwa wanachama waasisi, tumefurahi sana kurudi kwa Kinana uongozini CCM.
CCM ya hoja,
CCM ya mshikamano
CCM ya umoja
CCM ya kutetea haki na misingi ya ubinadamu...
Rais hapa kakosea na tumekuwa wazembe sana na wavivu kama nchi. Congo DRC ni sehemu muhimu sana lakini tumekuwa wazembe sana na tunawaachia nchi za nje wanatumia mbinu za kuwagombanisha ili tu...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba anatarajia kusoma bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2022/23 leo Juni 14, jioni bungeni. Bajeti inayopendekezwa ni Tsh. Trilioni 41.9 ikiwa...
Nimeona hiki kichwa cha habari kidogo kikanistua, yaani Nchi ya China ijenge Chuo kwa vyama tawala kufundisha siasa ya uongozi wa kikommunist? Sasa hapa upinzani upo wapi? Democracy si ndiyo...
KAMATI KUU YA H/KUU YA CCM TAIFA KUKETI JUMANNE TAREHE 21 JUNI JIJINI DODOMA.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg.
Rais Samia anatarajiwa kuongoza...
Kuna kundi la watumishi waliotumikia nchi katika nyanja mbalimbali na Serikalini na kustaafu siku nyingi kabla hata sheria za mifuko ya jamii haijaanzishwa.
Kundi hili la wazee ambao wamebaki...
Nimeona Spika Tulia akizinyanyasa hoja za wananchi zilizoletwa na Waitara kuhusu mauaji ya watu Tarime na ya Ole Sendeka kuhusu Loliondo.
Kwa kutumia ujuzi wake wa sheria ameamua kutumia kiti...
WAKENYA KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE, PALE LOLIONDO
Huu mchezo waliochezewa Wakenya kamwe hawawezi wakaupenda, hiyo Forest reserve yao ni hilo eneo la kijani hapo upande wa kulia (Ramani Namba 1)...
Ndugu Spika
Ninakuelewa vizuri, pengine huna uchungu sana na wananchi, kwa sababu mazingira yako ya kuingia bungeni tangu mwanzo, na baada ya uchaguzi 'feki' wa mwaka 2020 ni kwa mbeleko ya dola...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.