Ole Sabaya bado hali ngumu: DPP amkatia rufaa kwenye kesi ya kwanza

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,666
218,155
Hii ndio taarifa ya leo iliyoripotiwa na gazeti la Raia Mwema , ni kwamba DPP ameamua kukata rufaa kwa ile kesi ya kwanza iliyowashangaza wengi ambayo pamoja na Sabaya kufungwa miaka 30 Jela , lakini aliachiwa huru katika mazingira ya kutatanisha , baada ya kukata rufaa na kushinda .

Tuendelee kutega sikio kwa yatakayojili ili kujionea Haki ikitendeka .

sabaya.JPG

KILA UBAYA UTALIPWA
 
DPP ni mpuuzi; acha aendelee kupoteza muda wake. Prosecution case ikikosewa kwenye trial phase ni hasara ya kudumu. Huwezi kushinda kwa kukataa rufaa!
 
Hii ndio taarifa ya leo iliyoripotiwa na gazeti la Raia Mwema , ni kwamba DPP ameamua kukata rufaa kwa ile kesi ya kwanza iliyowashangaza wengi ambayo pamoja na Sabaya kufungwa miaka 30 Jela , lakini aliachiwa huru katika mazingira ya kutatanisha , baada ya kukata rufaa na kushinda .

Tuendelee kutega sikio kwa yatakayojili ili kujionea Haki ikitendeka .

KILA UBAYA UTALIPWA
Tunachezeshwa makhirikhiri
 
Nimeambiwa juzi . Kule hai kuna watu waliteswa na huyu bwana leo ukiwatajia sabaya wanakimbia hawataki hata kumuona kwa unyama wake.
Leo kuna wapuuzi miongoni mwetu wanamtetea.
Mengine ndo maana mungu anaingilia kati tu kwakweli
 
Hii ndio taarifa ya leo iliyoripotiwa na gazeti la Raia Mwema , ni kwamba DPP ameamua kukata rufaa kwa ile kesi ya kwanza iliyowashangaza wengi ambayo pamoja na Sabaya kufungwa miaka 30 Jela , lakini aliachiwa huru katika mazingira ya kutatanisha , baada ya kukata rufaa na kushinda .

Tuendelee kutega sikio kwa yatakayojili ili kujionea Haki ikitendeka .

KILA UBAYA UTALIPWA
Safi sana,huyu mshenzi hastahili kuwa uraiani hata dakika moja.
 
Hamna kitu hapo, CCM wameshatengeneza wale wamama wanaolia mahakamani siku sio nyingi huyo Sabaya atakuwa huru, wanavuta muda tu ili kutuzubaisha.
Mbinu ile wameicheza vibaya na kijinga. Badala ya kuleta huruma kwa Sabaya imeongeza chuki kwa Raia dhidi ya serikali.
Atatoka, but sio leo au kesho maana atasota sana sio chini ya miaka 5 ya nenda rudi mahakamani akitokea jela.
 
Back
Top Bottom