Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Dkt. John Pombe Magufuli, hongera sana kwa kutekeleza vema majukumu yako ya urais Naomba kukukumbusha juu ya maombi ya kutengewa mkoa mpya wa Nyakanazi. Mkoa huu ilipendekezwa uundwe na wilaya za...
10 Reactions
66 Replies
9K Views
Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shangai ameendelea kushikilia msimamo wake kuwa wakazi wa Loliondo wanaonewa, kuumizwa na kudhulumiwa haki zao wakati ardhi ni haki yao. Ole Shangai amerudia...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
WAKATI WA KIKWETE TULIACHA KIPOLO, TUTAKIMALIZIA WAKATI WA MAGUFULI! Mwishoni mwa mwaka jana tulipotangaza adhma ya kuandaa "Matembezi ya Hiyari" kuanzia Januari 2021 kwa lengo la kuuhamisha umma...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuna mambo mengi yakujifunza sana kuhusu hifadhi zetu. Nimewahi kutembelea hifadhi hizo za Wanyama karibu zote zinazopatikana Kaskazini Mengi nilipata kujifunza hasa linapokuja suala la urithi wa...
1 Reactions
3 Replies
813 Views
Jimbo la Ukonga linaongoza kuwa na Barabara Mbovu, Banana - Kitunda - Kivule - Msongola Mombasa - Bomba mbili - Mbondole Gongola Mboto - Majoe - Mbondole Pugu mpaka Chanika Shida ni Uongozi au ni...
8 Reactions
36 Replies
3K Views
Leo spika wa Bunge ameelezea sakata la wabunge 19 wa viti maalum CHADEMA waliofukuzwa na chama chao. Kwa ufupi, wabunge husika wamefungua kesi mahakamani kupinga maamuzi ya baraza kuu la CHADEMA...
17 Reactions
313 Replies
22K Views
Mbunge wa Simanjiro amesema nia ya Waziri Chana ni kuifuta jamii ya kimasai kwenye uso wa Arusha kwa kuzibadili wilaya nne kuwa pori la akiba. Ole Sendeka amesema one mvua like just hili...
13 Reactions
84 Replies
7K Views
- Habari Wanajamii wenzangu. Awali ya yote ningependa kumnukuu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Kuhusu jukumu la vijana katika Taifa. Mwl. Nyerere anasema “Tunataka kuona katika Taifa hili vijana...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Speed ya Spika wa Bunge kutetea Serikali inatisha sana, Pamoja na kwamba tuna Bunge dhaifu mionngoni mwa Mabunge yote Duniani lakini still huu muhimili unapaswa kujitenga na Serikali. Sasa huyu...
9 Reactions
27 Replies
3K Views
Kuna kilio kikubwa sana toka kwa watu ambao hawakusoma vyuo vya Tanzania yetu. Ajira za serikalini zinazoelekezwa katika vyuo vya elimu ya juu vinahitaji uwe na kiwango fulani cha GPA, nadhani iwe...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Katika Kesi ya Halina Mdee na wenzake dhidi ya Chadema walalamikiwa ambao ni Chadema wamesema Mapingamizi Sita juu ya uhalali wa Kesi hiyo kusikilizwa Jaji wa Mahakama kuu aliahirisha Kesi hiyo...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Ujue tatizo la hoja ni kwamba haifi hadi amma ijibiwe, au ikubalike na kufanyiwa kazi. Huo ndio uzuri au ubaya wa hoja.Hoja haifi kwa kumpiga ngumi mtoa hoja. Nyuma hapo, kuna kipindi ambapo...
6 Reactions
61 Replies
4K Views
ITV imemtafuta mbunge wa BIHARAMULO MH EZRA CHIWELESA kutoa ufafanuzi wa kibajeti kwa hoja yake bungeni akihoji serkali kutumia asilimia 48 ya bajeti ya WIZARA ya uchukuzi ambayo ni trillion 6+...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Mbunge wa Chadema mh Jesca Kishoa ( mrs Kafulila) amesema hakuna Mwarabu aliyeuziwa Loliondo bali hizo ni Kiki tu za wanasiasa uchwara wanaotafuta umaarufu Jesca amesema Wamasai wanapaswa...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Kabla hatujaanza kuchagua upande wa kusemea kuna maswali ya kujiuliza kuhusiana na suala zima la Ngorongoro, Kuna maeneo mengi sana nchini Tanzania watu wanahamishwa kupisha shughuli mbalimbali za...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mbunge wa Viti Maalumu, Lucy Mayenga ametoa tuhuma kwa baadhi ya wabunge ambao kwa makusudi wanaipotosha Serikali na kuichonganisha na wananchi kuhusu sakata la Loliondo. Mayenga ametoa shutuma...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Siasa za Tanzania ni kutafuta fursa tu ndio sababu Matajiri wamejazana CCM, Chadema na ACT wazalendo Mchungaji Msigwa na Tundu Lissu watazikumbuka sana ofa za hayati Magufuli. Wenzao wanalamba...
9 Reactions
35 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, aongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Serikali ya JMT leo imekutana na Mabalozi na wakuu wa Taasisi za kimataifa kuwafafanulia kinachoendelea Ngorongoro Serikali ikiongozwa na Waziri Mulamula, waziri Ndumbaro na Naibu waziri Masanja...
3 Reactions
43 Replies
3K Views
Ukweli lazima usemwe awamu ya tano ilijitahidi sana kushughulikia migogoro ya ardhi kwa kiwango kikubwa sana na pongezi zimuendee hayati Magufuli pamoja na wasaidizi wake hasa waziri Lukuvi na...
2 Reactions
8 Replies
922 Views
Back
Top Bottom