Ndugu Spika
Ninakuelewa vizuri, pengine huna uchungu sana na wananchi, kwa sababu mazingira yako ya kuingia bungeni tangu mwanzo, na baada ya uchaguzi 'feki' wa mwaka 2020 ni kwa mbeleko ya dola...
▪️Sasa vyadahili wanachuo 15,032
▪️Bilioni 6.8 ya Fedha za Uviko-19 kutumika kununua vifaa
Na WyEST,
MOROGORO
Wakuu wa Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi (FDC) wametakiwa kutumia kwa umahiri...
Ni ufafanuzi tu kidogo
Siku ya Bajeti ni maalumu na katika baadhi ya nchi watu hawaendi kazini
Waziri wa Fedha husoma Bajeti kuu ya serikali kwa niaba ya mkuu wa nchi
Hivyo mbwembwe fulani...
Kuna kelele nyingi sana kufuatia dhamira njema ya serikali ya kuwaondoa wamasai kwenye pori tengefu la Loliondo.
Kwanini wamasai wa Loliondo wanataka wawe na special treatment nchi hii?
Awamu...
Tunakumbushana tu
Hii ni kwa mujibu wa Biblia
Basi hizi siyo nyakati za kushabikia Siasa bali itafuteni Kweli na Hiyo Kweli itawaweka Huru nanyi mtakuwa Huru kweli kweli
Mungu ni mwema...
Katika mambo yote yanayohusu matumizi ya fedha huwa kuna pande mbili. Upande wa mnunuzi wa pesa 'Buy side' upande wa muuzaji wa pesa 'Sell side'. Kwahiyo tayari hii ni transaction kamili kama vile...
Bajeti iliyowasilishwa ni TZS Trilioni 41.48 ikiwa ni ongezeko la 9.2% ukilinganisha na mwaka jana. Sehemu kubwa ya bajeti hii inategemea fedha za ndani (kwa zaidi ya 67%, hili ni jambo la...
Uwepo wa wanasiasa uchwara Tanzania uligunduliwa kwa mara ya Rais William Benjamini Mkapa (RIP). Uchwara wa wanasiasa wetu haujali kuwa una elimu kiasi gani, kabila, dini wala jinsi ya mwanasiasa...
Mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa Bunge la Tanzania BLW Zanzibar Bunge la Uingereza, Bunge la Kenya na Bunge la SA
Kiukweli Ole sendeka alitakiwa aachiwe alieleze bunge kile anachokiamini kwa...
Ni Rais mwenye maamuzi magumu sana lakini ya uhakika.Ni Rais anaeweza kuchukua hatua za haraka sana kunapotokea tatizo nchini kwake lakini kwa usahihi zaidi.Ni rais asiyeyumbishwa na mataifa ya...
CHADEMA inafanya siasa zake mtandaoni kwa kiasi kikubwa, kutokana na mazingira ya siasa nchini yalivyo tangu enzi za mwendazake
Sasa kuna vijana wa Chadema wamekuwa popular sana huko mtandaoni...
Licha ya Kuwa Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dr John Pima na Wenzake wanne amefikishwa mahakamani kwa kosa la uhujumu uchumi bado kuna baadhi ya vishoka ambao wamesalia ambao wakiendelea...
Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki, Juni 22/06/2022inatarajia kutoa hukumu dhidi Mwanasheria Mkuu wa serikali ya Tanzania katika kesi ya mwaka 2017 iliyofunguliwa na vijiji vya Loliondo...
Taarifa ya Aljazeera TV imeambatanishwa kuhusu Wakenya wa Nairobi kutetea Loliondo kuwa Wamasai wabaki, Wakenya wa Nairobi wamewekeza kitu gani huko Loliondo?
Loliondo ni Tanzania wao Wakenya...
Mbunge wa Viti Maalumu, Hawa Mwaifunga ameitaka Serikali kuongeza nguvu ya kutoa elimu kwa jamii ili kupunguza tatizo la mimba za utotoni huku akieleza moja ya sababu ni wanafunzi kufuata shule...
Wataalam wa mambo tunajua kuna vigezo vingi vinavyozingatiwa ili kutolewa tuzo ya Amani ya Nobel. Yanayowekwa hapa ni baadhi tu ya mambo yanayomfanya Rais Samia kupendwa sana na watanzania kama...
15 Jun 2022
Helsinki, Finland
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Liberata Mulamula akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Afrika...
15 June 2022
Geneva,Switzerland
Msimamo Tanzania wa kuunga mkono maamuzi ya kuondoa Uzuiaji wa Chakula kutoka
Mhe. Omar S. Shaaban, Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda, Zanzibar ambaye...
Suala la Serikali kuchukua maeneo ya Wamasai na kuyageuza kuwa mapori ya akiba inaonekana halitaishia Loliondo pekee bali linasambaa hadi wilaya nyingine kama Simanjiro, Longido na hata Monduli...
Na Eva Ngowi, Dar es Salaam
Serikali ya Ufaransa kupitia Shirika lake la Maendeleo la Ufaransa (AFD), imetia saini mkataba wa kuipatia Tanzania mkopo wa Euro milioni 75 sawa na takriban shilingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.