Mpishi mzuri hupenda kujua idadi ya watu waliopo, ili kupika chakula cha kutosha watu wote, kauli hii inaendana na kila ambacho Serikali inakwenda kufanya katika sensa ya watu na makazi Agosti 23...
Salama wandugu
Mama yupo mtaani akifungua baadhi ya miradi na kuona maendeleo ya nchi.
Sasa si vibaya sana tukapewa gharama yote ya mafuta ya msafara wake
Kupata gharama hizo tuweze kutoa ushauri...
Ningependa kukishauri chama Cha CHADEMA kiweke mfumo mzuri wa viti maalum ulio wazi Ili kuepuka Yale ya Covid 19 yasijirudie. Tujifunze kutokana na makosa, la sivyo huko mbeleni litajirudia Tena...
Mikopo ya wafanyakazi, ni biashara nzuri sana kwa taasisi za fedha hasa mabenki na biashara hii inachangia sana katika faida za mabenki ya kibiashara.
Hivyo, badala ya BOT kuendelea kukopesha...
Kila mtu makini naamini hushangaa na kutatizwa sana pale ambapo mamlaka ya uteuzi ya viongozi iwe Rais ama Waziri ama yeyote ili mradi ni mamlaka ya uteuzi inapofanya uteuzi muda huu, kisha in...
Ni aibu mazingira anayoishi kiongozi mkubwa wa nchi kuwa na sehemu chafu hiki. Mitaro yote imejaa maji mpaka yanafika kwenye kuta ambazo zipo karibu na hapo ikiwemo na ukuta wa nyumba ya Rais...
Kama unapenda aendelee kuwa waziri sasa unaweza kumbadilisha vizara ila kwa wizara ya nishati kusema kweli ni changamoto kubwa:
Watu wanalia kila kukicha lakini wewe kuna uwezekano hupati taarifa...
Leo unatarajiwa kufanyika mgomo kuanzia mchana na watu waliopewa semina ya sensa kudai malipo yao ya zaidi ya siku 10. Watu wamejipanga ikifikia hadi mchana wa leo hawajalipwa watagomea semina hiyo.
Tuna mengi sana ya kujifunza Kenya na uchaguzi wao.
1. Uwazi
2. Uhuru wa media zao
3. Incumbent president Uhuru hana kauli yoyote kuhusu uchaguzi
4. Katiba yao inaruhusu haya yanayotokea
5. etc...
Kwa mujibu wa Taarifa ya Ikulu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassani, amemteua Meja Jenerali Suleimani Mungiya Mzee kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara na kutengua uteuzi wa Dr...
Jamani kwema
Hayati Magufuli alikuwa ana mapungufu mengi ila kwenye vitu vinavyohusu maslahi ya taifa alikuwa mkali kupitiliza, alijitahidi kuboresha miondombinu kila idara majini (bandari zote)...
RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA KM 40 MUFINDI, IRINGA
OR TAMISEMI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameweka Jiwe la msingi la ujenzi wa...
Kuna jambo linajitokeza katika ziara za Rais ndani ya Nchi.
Viongozi wa CCM na Viongozi wengine wanatangulia kwenda eneo ambalo Rais atahutubia na kupiga VITISHO kwa Wananchi kwamba hawatakiwi...
NJOMBE
Kijiji cha Mtwango
Mwigulu Nchemba - Waziri wa Fedha
Sensa huja kila baada ya miaka kumi. Twendeni tukapate idadi yetu kamili ili Mh. Rais aweze kuwaleta mafungu yanayo endana na idadi...
Nimefuatilia Press ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Bw. John John Mnyika, akiitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuhusisha vyama vya siasa juu ya manunuzi ya vifaa vyote vya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020...
Mstaafu Jaji Damian Lubuva, aliyekuwa Mwenyekiti wa NEC, alijigamba uchaguzi wa 2015 ulikuwa huru, haki, wazi na shirikishi.
La ajabu hadi leo, fomu ambazo tume ya uchaguzi walizitumia kutangaza...
Wakati Zimbabwe wanatafuta uhuru, kikwazo kikubwa kwao ilikuwa ni serikali ya Uingereza iliyokuwa inampa support Smith. Katika harakati hizo, Zimbabwe walifundishwa kupambana na Waingereza ili...
Rais Samia Suluhu Hassan ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Tanzania anapoakea ripoti ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 2020, Ikulu Dar. Katika Uchaguzi huo, Mgombea wa CCM Hayati Rais John Magufuli...
Huyu bwana Palamaganda Aidan Kabudi alitamba Sana enzi za JPM, aliteuliwa kuongoza majadiliano na Barrick Gold, na alijitahidi kwa kiasi chake. Badae akawa waziri wa Sheria na Katiba na finally...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.