Mkuu
Pole KWA majukumu
Nimepata malalamiko kutoka KWA wakuu wa shule za secondari hapo mkoani Tabora kwamba maandalizi ya mitihani ya mock kidato cha nne na cha pili hayakuridhisha!
Kuna kasoro...
Kama unahisi Jeshi la Polisi na Mahakama haviko sawa. Unadhani ni Marekebisho gani yanatakiwa kufanyika ili Jeshi la Polisi liwe bora na Mahakama itende haki inavyotakiwa.
Kwa ufuatiliaji wangu niliofanya kwenye mambo mbali mbali, nimegundua kwamba CHADEMA imekuwa ikilaumiwa mara nyingi kwamba haitimizi wajibu wake hadi mambo yanaharibika. Kwamfano;
Wakati wa Bunge...
Umeaminiwa na Rais umsaidie kazi ya sensa.
Anna Makinda tunakuomba utoe tamko ili wanasemina
1. Walipwe posho zao za sensa. Halmashauri hazitaki kuwalipa leo siku ya 14.
2. Walazimishe watoe...
Nashindwa kuelewa kauli za Mbowe.
Mbowe amelamba asali amekuwa kama bubu.
Siasa za kujenga ndio siasa gani sasa?
Mbowe: Tulikubaliana na Rais Samia kufanya siasa za kujenga nchi...
Wana JF nisaidieni.
Asubuhi mchana usiku taarifa za maendeleo ya Uchaguzi Kenya katika vyombo vya habari hapa Tz hadi kushangaza. Labda niko nyuma ya wengine lakini najiuliza ni lipi hasa la...
Jina la Mbunge na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai limeonekana katika Ukurasa wa mbele wa Gazeti la Raia Mwema, leo Agosti 13, 2022.
Kwa muelekeo ulivyo,Chama cha Azimio,kushinda uchaguzi Kenya,kwa kutoa wabunge,Seneta,Magavana na viti vya wanawake wengi,japo matokeo rasmi bado.Leo waliochaguliwa,wa chama hicho,wanakutana na...
Kila nikipita mitaani naona sura zilizozeeka kutokana na ugumu wa maisha ilihali bado ni vijana. Ilitokea Kigoma kwenye kampeni za uchaguzi mkuu 2020, Profesa Lipumba aliyekuwa mgombea wa kiti cha...
RAIS SAMIA NA UCHUMI WA GESI, TUPO NJIA SAHIHI
Na David KAFULILA
Jumapili, Juni 12 , 2022
Jana, Juni11, 2022, Rais wetu SSH ameshuhudia makubaliano ya awali ya uwekezaji wa $30bn kati ya...
Hii ni thread ya pongezi maalumu kwa Rais Samia na Serikali yake kwa kuliona hili la Utunzaji Vyanzo vya Maji mkoani Iringa
Haya Maji yanayotoka Ihefu na kupitia Mto Ruaha Iringa ndio Uhai wa...
Wakati Serikali ikitarajia kuanza kutoa ruzuku katika pembejeo za kilimo ikiwemo mbolea, wakulima wametakia kufuata utaratibu ulioweka ikiwemo kujisajili ili kufaidika na fursa hiyo...
Labda tumepata Katiba Mpya je rasilimali zetu zilizobinafisishwa kwa mikataba mibovu zitarudishwa?
Je, kodi zetu zilizoporwa na viongozi wa CCM kupelekwa Uswis fedha hizo zitarudishwa? hili suala...
Jana vyombo vyote vya habari vimemwonyesha rais wa Zanzibar akisaini mkataba wa uchimbaji mafuta na gesi huko Zanzibar na akiturushia dongo wabara kwamba tusiyatolee macho kodo hayo mafuta maana...
"Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi hakiwezi kuepuka
lawama. Lakini kuilaumu Kamati Kuu ni kukiri kwamba sasa Chama Cha Mapinduzi kina
kansa ya uongozi ambayo...
Emmanuel Mpawe Tutuba
Permanent Secretary Ministry of Finance and Planning, Tanzania .
the theme, Achieving Climate Resilience, and a Just Energy Transition for Africa, was chosen to provide a...
Wale wanaopiga kelele kwamba Tanzania tunakopa na tumekopa Sana msikilize huyu Mwamba vizuri ndio utaelewa kwanini Mungu alimleta Rais Samia wakati huu,
Mkuu wa mkoa wa Simiyu akihojiwa na kituo...
Habari,
Nitatoa mifano angalau 3 kuthibitisha hoja katika title ya uzi wangu.
Mfano # 1
Diwani analipwa pesa ndogo, ilikuwa chini ya laki 4 labda kama mabadiliko yamefanyika majuzi. Huyo diwani...
Tangu akiwa ziara ya Arusha alipokutana na wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki na sasa yupo mkoani Mbeya, nimegundua kama ulinzi umebadilika kiaina.
Zamani tulizoea kuona jammer car...
Unguja, Serikali ya Zanzibar imekabidhiwa rasmi takwimu (data) za utafutaji wa mafuta na gesi kutoka Serikali ya Tanzania. Hafla ya makabidhiano hayo imefanyika leo Jumatano Agosti 10, 2022 Ikulu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.