Lissu: Sheria na kanuni za uchaguzi zinataka akibaki mgombea mmoja anatangazwa kupita bila kupingwa, sasa CCM wanadai kufanya kampeni ya nini sasa?

Tukundane

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2012
Messages
10,212
Points
2,000

Tukundane

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2012
10,212 2,000
Wapinzani hawaogopi uchaguzi wanahofia usalama wa wapiga kura, kama siku ya kuchukua form tu,watendaji walifunga ofisi wakakimbia wapinzani wasichukue form, siku ya uchaguzi kama hawatafunga milango ya vituo vya kupigia kura wananchi watakapo wakataa na kuwachagua wapinzani kitakachowapata kinaweza kikawa ni kile kilichompata dada Akwilina.
 

mbenge

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2019
Messages
411
Points
1,000

mbenge

JF-Expert Member
Joined May 15, 2019
411 1,000
Heri ya kuwa na aibu, kuliko kukosa aibu. Naona chama tawala kinalazimisha kufanya "uchafuzi" badala ya "uchaguzi" wa kidemokrasia pasipo haya wala soni.
 

tindo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Messages
24,768
Points
2,000

tindo

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2011
24,768 2,000
Wanalazimisha kwenda kwa wananchi ili wajifanye wananchi wamekubali sera zao ndio maana wanawachagua. Ukweli ni kuwa ccm haikubaliki na hilo wanalifahamu ndio maana hawataki ushindani wowote wa ukweli.
 

Forum statistics

Threads 1,363,999
Members 520,596
Posts 33,303,330
Top