Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

"Katika mazishi Wazee Chato walimuomba Rais Samia mkoa wakidai ni ahadi ya mtangulizi wake.kwa hekima akasema ataangalia vigezo.Kama Mbunge Mstaafu jirani Muleba Kusini najua vigezo havipo.Wazo...
126 Reactions
401 Replies
37K Views
Leo mama amepigilia msumari wa mwisho, japo ametoa maneno ya faraja lakini ukweli ni kuwa Chato haitokuwa mkoa never ever.
7 Reactions
60 Replies
6K Views
Waziri wa maji, Juma Aweso amewataka wakurugenzi wa mamlaka za maji kutoa huduma ya maji kwa wananchi badala ya kuwabambikia watu bili za maji. Waziri Aweso ameyasema hayo leo mkoani Njombe...
1 Reactions
8 Replies
933 Views
Wanabodi, Kila nipatapo fursa, huja na makala elimishi kuhamasisha uzalendo kwa taifa letu kupitia makala elimishi hizi za " Kwa Maslahi ya Taifa" Swali katika mada yangu ya leo ni katika...
26 Reactions
86 Replies
8K Views
Mnavyoona mikataba mibovu kuanzia madini, gesi na rasilimali nyingine ni CCM pekee iliyofanya hayo. Mnavyoona kelele zinapigwa za wizi jua kuwa hao ni CCM, wao kwa wao wanatuhumiana kuiba fedha za...
3 Reactions
7 Replies
824 Views
Rais wetu nakuomba kuacha kuwatesa wahudumu wako wanaokuzunguka kukulinda kuvaa Barakoa. Ni kitu cha kusikitisha sana nchi ambayo haina hata uwezo mkubwa wa wataalam waliobobea na vifaa vya...
8 Reactions
72 Replies
7K Views
Point kwa Point Waziri mkuu mstaafu mzee Msuya amesema uzalendo ni swala la kiroho zaidi siyo kimwili Kuwa mzalendo ni lazima kwanza uwe na UTU Msuya amesema wanasiasa wamejaa Tamaa na Ubinafsi...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Najua CHADEMA Huwa hawapendi kuambiwa chochote. Muda wote wanaona wako sahihi .usiwakosoe usiwaambie hapa mnapotea au pale pametoboka. Wana haiba ya ujuaji ingawa sio wote. Kivyovyote vile lazima...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Waziri Ummy Mwalimu amesema ugonjwa wa UVIKO19 bado upo na namna nzuri ya kuepuka maradhi hayo ni kupata chanjo hivyo ametoa wito kwa wananchi kupata chanjo ambazo zinaendelea kugawiwa bure...
1 Reactions
3 Replies
815 Views
Wana Bodi Mawaziri Hussein Bashe na Jumaa Aweso kwa sasa wanaonekana kung'ara sana kwa wananchi kutokana na jitihada zao wanazofanya za kuleta mageuzi ya kweli katika Sekta wanazoziongoza nimeona...
1 Reactions
12 Replies
852 Views
Mwalimu Nyerere aliona mbali sana baada ya kujua kuwa nchi hii ya Tanzania ni ya Wakulima na Wafanya kazi. Kati ya viwanda vingi alijenga ni kile cha Tanga Fertirlizer Company iliyokuwa...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Taasisi ya Elimu nchini Tanzania imesema Mtaala Mpya wa Elimu uko tayari utafikishwa kwa Wadau wa Elimu waweze kuupitia Msemaji wa TIE amesema Mtaala Mpya wa Elimu umebeba matarajio ya Dunia ya...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Ukweli mchungu ila usio semwa: Mwenyezi Mungu, kwa kujua udhaifu wa mwanadamu, hakumpa mwanadamu kila kitu(alijua madhara yake- ndio maana utasikia Mungu hakupi kila kitu). Bahati mbaya sana...
4 Reactions
1 Replies
571 Views
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali anayoiongoza haina mpango wa kukata maeneo kwa kuyapandisha hadhi, badala yake wanajielekeza kwenye utatuzi wa shida za wananchi hapa nchini...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana Jf. Wakati serikali ikijitahidi sana kuingiza fedha nyingi kwenye kilimo, makampuni ya simu yapo mstari wa mbele kuumiza matumiaji wa Internet kwa kuongeza gharama lukuki kila mwezi. Uwezi...
2 Reactions
2 Replies
703 Views
Serikali inatakiwa kuwekeza na kuendeleza bandari ya Tanga badala ya kujenga bandari mpya isiyo na ulazima na kuingiza nchi kwenye madeni yasiyo ya msingi kwa manufaa ya viongozi wachache...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika mwaka wa fedha 2022/23 Serikali ya Rais Samia Suluhu imetenga Sh. 86.1bn/- kwa ajili ya ujenzi na marekebisho ya viwanja vya ndege mbalimbali nchi nzima. Lengo ni kuboresha sekta ya...
0 Reactions
2 Replies
888 Views
Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa leo Agosti 10, 2022 amefungua Mkutano Mkuu wa 44 wa kawaida wa CAF AICC Arusha. Mkutano huo umehudhuriwa na Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA)...
0 Reactions
2 Replies
961 Views
Rais Samia Suluhu Suluhu amesema sehemu ya pili ya filamu ya “The Royal Tour” inatarajiwa kutoka hivi karibuni lakini itakuja kivingine ikilenga kuonyesha maeneo ya utalii yaliyojificha yaliyopo...
1 Reactions
0 Replies
839 Views
Kumekuwa na hii tabia ambayo wahudumu wa afya wanaifanya sana kwa wagonjwa wanaotumia bima za afya. Unakuta mtu anaumwa ugonjwa fulani anaandikiwa dawa ambayo kwa makusudi kabisa wanajua dawa...
0 Reactions
4 Replies
831 Views
Back
Top Bottom