Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hongereni kwa kazi nzuri makarani mliopo ktk semina ya Sensa japo nasikia hamjalipwa hata thumni mpaka Leo lakini mmekuwa wazalendo kweri kweriii. Yes pigeni kazi ndugu zangu kwa bidii taifa...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakati wa mchakato wa rasimu iliibuka hoja ya serikali tatu, Dr. Shein akiwa rais wa Zanzibar wakati huo alikuwa miongoni mwa watu walipinga Kwa madai mapato ya Zanzibar ni kidogo hivyo isingemudu...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Mbunge wa Jimbo la Makambako, Deo Sanga amemuomba Rais Samia Suluhu amuagize Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi kulipa fidia kwa wananchi ambao maeneo yao yalichukuliwa. Mbunge huyo ametoa...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa Njombe katika mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Sabasaba Njombe Mjini, leo tarehe 10 Agosti, 2022. DKT...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Uchaguzi Mkuu Kenya: Kupiga kura Vs Kuchagua Uchaguzi Mkuu wa Kenya unakaribia kukamilika ninapoandika uzi huu, nimejifunza mengi: 1. Kenya wanapiga kura na kuchagua, mahali pengine tunapiga...
23 Reactions
28 Replies
3K Views
Ushiriki wa wananchi katika mambo mbalimbali ya kijamii ni muhimu sana katika kuleta maendeleo kwenye jamii husika. Serikali ikiachiwa ifanye kila kitu wenyewe bila kushirikisha wananchi kwa umoja...
0 Reactions
0 Replies
735 Views
Kipindi Mh. Magufuli katutoka kulitokea malumbano ya siku kadhaa kuhusu kuifanya wilaya ya Chato kuwa mkoa. Alijitokeza kanjibhai mmoja ambaye ni nshomile wa kule uhayani Prof. Tibaijuka kuponda...
4 Reactions
42 Replies
5K Views
Tanzania haifati meritocracy, hivyo viongozi wengi kuanzia chini mpaka Juu hawajawahi achieve chochote maishani ukiachia labda kuoa na kuanzisha familia, hilo nalo unaweza kulijadili pia kama hata...
5 Reactions
10 Replies
980 Views
Mh. Waziri wa Sheria na Katiba amesikika leo akitoa somo: Hii ikiwa hata vumbi la kuangushiwa jumba bovu lingali halijatulia: Kuna haja ya tafsiri za neno hili "uzalendo" kupitiwa vyema ila...
5 Reactions
44 Replies
4K Views
Nampongeza Waziri wa Afya kwa kupata updates mbalimbali za sekta unayoisimamia kwa wakati na hivyo kuwa responsive. Nikijikita katika mada, Mimi ni muumini wa sustainable health system financing...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu, tangu semiza zianze ni siku ya kumi na moja Leo kuna baaadhi ya halmashauri hazijalipa hata senti moja. Swali, hao wanasemina wanaishije, usafiri, nk...
18 Reactions
155 Replies
15K Views
Hakika Napenda Kumpongeza sana Mh RAIS SAMIA kwa Msimamo wake Thabiti wa KUKATAA kuongeza MAENEO mengine ya UTAWALA. Uamuzi huu ni wa Kuungwa mkono na Watanzania wote kwani Unalipunguzia Taifa...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Afrisian Ginning Ltd OCP Sky Mwamoto Minjingu Mining Fertiizer Company DRTC Trading Co. Ltd Tanzania Fertilizer Company One Acre Tanzania Ltd ETG Premium
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Jakaya huyu wa goli la mkono au mwengine?? Jakaya huyu wa tume wanaiyoiendesha kwa remote au mwengine? Jakaya huyu anaepeleke majeshi Zanzibar kuizuia democracy au yupo mwengine? Jakaya huyu...
22 Reactions
53 Replies
4K Views
Nimesikitishwa sana na kitendo cha viongozi ngazi ya wilaya kutokuchagua baadhi ya walimu wakuu walioshiriki katika usahili wa makarani wa sensa, inakuaje nisaili watu alafu hunichagui kwenye...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Kwa wale mlioshiriki Uchaguzi wa 2020 hapa nyumbani Tanzania na leo mmefuatilia Uchaguzi wa Kenya Je, kuna haja ya Tanzania kupigania Tume Huru ya Uchaguzi au tuendelee tu na NEC yetu? Mungu...
2 Reactions
49 Replies
4K Views
Kuna wakati chakura ukila peke Yako hakinogi. Hata mji wenye watu wa kabila Moja Huwa Hauna maendeleo. Chama Cha siasa au nchi inayoogopa ushindani wa kweli, haiwezi kufikia mafanikio Kwa wakati...
23 Reactions
55 Replies
5K Views
Wakuu, Chifu Hangaya anatarajia Kuwa Mgeni Rasmi kwenye Kilele Cha Uzimaji Mwenge Wa Uhuru Octoba 14 Huko Chato Mkoani Geita. Mwenge wa Uhuru mwaka 2021 Ulianzia Kukimbizwa Mei 17 Huko Kusini...
1 Reactions
64 Replies
7K Views
Hoja kama NNE hivi zinatumiwa na watu wenye kupinga Chato kufanywa Mkoa. Bahati mbaya kwao, HOJA zote ni dhaifu. Kwa sababu hiyo, Chato isipokuwa Mkoa ni kwa sababu mwenye mamlaka (Rais) hapendi...
7 Reactions
96 Replies
9K Views
Ummy Mwalimu, Waziri wa TAMISEMI, akiwa anatafakari juu ya muundo wa serilkali ya Tanzania Bara kuanzia Ikulu hadi Vitongojini. Usuli Mwongozo wa kuunda mikoa wa 2014 unataja vigezo hivi...
5 Reactions
43 Replies
7K Views
Back
Top Bottom