Yupo wapi Profesa Kabudi

Yupo wapi Profesa Kabudi

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,245
Reaction score
10,136
Huyu bwana Palamaganda Aidan Kabudi alitamba Sana enzi za JPM, aliteuliwa kuongoza majadiliano na Barrick Gold, na alijitahidi kwa kiasi chake. Badae akawa waziri wa Sheria na Katiba na finally akawa Waziri wa Mambo ya nje.

Alijisifu Sana alivyokuwa waziri wa mambo ya nje, lakini wabobezi wanasema alihusika kwa kiasi kikubwa kuharibu diplomasia ya Tanzania. Now hana cheo chochote, na amepotea ata Bungeni hasikiki, haulizi maswali, ATA swali la nyongeza haulizi.

Yupo wapi huyu bwana
 
Unaongelea Kabudi yule aliyekunywa ile dawa toka Madagascar?? yule si kapanda cheo yupo Ikulu na Mama anasimamia Mawaziri yeye na Lukuvi eti..,
 
Aseme nini wakati viongozi wote wanamnanga kipenzi chake jpm! Kaamua kurudi jalalani
 
Dau la Mnyonge haliendi Joshi, inasikitisha sana Wazalendo kudhihakiwa wakati walilitumikia Taifa kwa Uadilifu.

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Huyu anastahili kudhihakiwa! Ni msomi mzuri, lakini alikuwa hatumii taaluma yake kama Mahiga (R.I.P) kwenye kufanya kazi zake, bali kutumia mawazo na miongozo ya aliyemteua!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom