Tangu akiwa ziara ya Arusha alipokutana na wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki na sasa yupo mkoani Mbeya, nimegundua kama ulinzi umebadilika kiaina.
Zamani tulizoea kuona jammer car...
Unguja, Serikali ya Zanzibar imekabidhiwa rasmi takwimu (data) za utafutaji wa mafuta na gesi kutoka Serikali ya Tanzania. Hafla ya makabidhiano hayo imefanyika leo Jumatano Agosti 10, 2022 Ikulu...
Rais Samia anaendelea kupita katika kila Mkoa kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali na kutatua kero za wananchi. Licha ya kufanya ziara katika nchi mbalimbali zilizoleta tija kubwa, Rais...
Na Kevin Lameck
Dunia inapoadhimisha siku ya Vijana hii leo, yapo baadhi ya mambo yaliyofanywa na kutekelezwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye kuwakwamua dhidi ya changamoto...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki kilele cha maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima (Nanenane)uwanja wa John Mwakangale Mkoani Mbeya leo tarehe 08 Agosti, 2022...
Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mh. Konga amesema taasisi yake imebaini madaktari wanawaandikia wagonjwa dawa zisizo sahihi na huu ni uhujumu uchumi.
Konga amesema mtu anapokunywa...
Hakimu anayesikiliza Kesi ya Ole Sabaya na wenzake mh Kashasha ameitaka upande maashtaka kuharakisha upelelezi wa Kesi hiyo
Hakimu Kashasha alikuwa anajibu ombi la Mawakili wa Ole Sabaya...
Leo STAMICO wametoa gawio la 2.2 B kwa serikali.
Juzi Mama yenu alikuwa anaponda Mashirika kuwa yalikuwa yanakopa ili kutoa gawio kwa Serikali.
Sasa naona na yeye anaenda mulemule.
Kukaa na...
Kenya ilifanya uchaguzi siku ya Jumanne mpaka leo bado wanakusanya matokeo ambayo hayabadilishiki kwenye vituo na kujumlisha kura za urais.
Sisi kulingana na umakini wetu, rais angetawazwa...
Hii ndio taarifa tunayokumegea kwa sasa popote ulipo. Kaa ukijua kwamba huko Shinyanga kimeumana, ni mtiti mkubwa .
Kaa tayari kumsikai mwamba mwenyewe Ustaadh Aboubakar akitoa dira ya taifa.
Huo ndio ukweli kama hutaki acha sikulazimishi
Mzee Kikwete ndiye Mwamba wa Siasa za Tanzania baada ya hayati mwalimu Nyerere
Wote tunajua JK ilikuwa awe Rais mwaka ule 1995 lakini CCM kupitia...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi Mradi wa Upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Iringa na kusalimia wananchi leo tarehe 12 Agosti, 2022...
Haya kumekucha!
Wale ndugu zangu wapogoro wanaoshinda na kuweka kambi kwenye misitu wakichanja mbao! TUKAHESABIWE
wale Dada zetu wa biashara poa kwenye madanguro kuanzia Sinza,Uwanja wa fisi...
Watanzania wengi tuna tamaduni ya kukimbilia na kukusanyika eneo ambalo Rais wetu atasimama na kuongea na wananchi lakini hali hii imekuwa tofauti kwa huyu mama, huyu mama watu hawamtaki asilimia...
Akiwa katika mji wa Makambako Rais Samia amewapongeza viongozi wa Halmashauri kwa kuvuka malengo ya Ukusanyaji wa mapato na amewataka wabuni Vyanzo vipya vya Mapato.
Rais Samia amekuwa...
Katika mwaka wa fedha 2022/23 Mamlaka ya Maji katika jiji la Arusha litatumia Sh. Bilioni 12 kutekeleza mradi wa maji ambao utafanya jiji hilo la kitalii kupata maji wa 100%
Kwa sasa usambazaji...
Kiukweli kama tungekuwa na upinzani wa kweli tusingesikia mambo ya Wagombea kupita bila kupingwa
Tusingesikia Zitto na Serukamba wanabadilishana majimbo
Na wala tusingeshuhudia kiburi cha akina...
Mbunge anapewa mafuta kwa ujazo, hajawahi nunua kwa fedha yake, maposho posho kibao. Halipi kodi, hakuna performance rating akiwa anawahudumia wananchi.
Sasa ni wakati gani atahisi[feel] vile...
Na Kevin Lameck
Siku ya Kimataifa ya Vijana inaadhimishwa leo na kila mwaka tarehe 12 Agosti, ikileta maswala ya vijana kwa jamii ya kimataifa na kusherehekea uwezo wa vijana kama washirika...
Mh RAIS alitangaza kuwa Serikali yake imesamehe KODI ya PANGO kwa kuondoa RIBA kwa Wamiliki wa Viwanja wanaodaiwa KODI ya PANGO.
KODI iliyosamehewa ni ile ya ADHABU/RIBA kutokana na Kuchelewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.