Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Speaker mstaafu job ndugai ndani ya western wall of Jerusalem
25 Reactions
229 Replies
20K Views
Mheshimiwa Rais Hussein Mwinyi, nakuandikia hapa kwa sababu nahisi ndio sehemu pekee ujumbe unaweza kukufikia. Sisi wafanyabiashara mara nyingi huwa tunakopa fedha benki ili kuendesha biashara...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Siasa za Kenya sizitofautishi sana na siasa za Marekani! Wao wanaamini sana katika kumpa nafasi mtu anayeonesha ana uwezo wa kutafuta pesa na kupambana kupata pesa! Ndo mana inawezekana hata...
32 Reactions
183 Replies
10K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara mkoani Tanga, siku ya Jumapili Agosti 14 Mwaka huu. Katika ziara yake mkoani Tanga Rais Samia Suluhu...
6 Reactions
22 Replies
4K Views
Mamlaka ya Bandari (TPA) imefanya upembuzi wa mifumo yake ili kushughulikia hoja za Mdhibiti wa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2022/21 ya kuwa mifumo inasomana na hivyo...
0 Reactions
0 Replies
650 Views
Chini ya Rais Samia Suluhu, kila familia itapata maji safi na salama. Jitihada za kuhakikisha kwamba Watanzania wanapata maji safi na salama ni jitihada za kupongezwa sana kwani zimekuwa na...
2 Reactions
8 Replies
624 Views
Kuna thread humu ilisema Mh Rais misafara yake haina watu huko kusini, leo amewajibu
22 Reactions
177 Replies
11K Views
Nimeanza kuona baadhi ya viongozi wa vyama pinzani mnaposti ujinga kuwa tumuombee Raila Odinga ashinde, mara wengine mnasema Odinga lazima atangazwe kwasababu ndo anakubalika na Uhuru Kenyatta...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
WAZIRI NAPE AHAMASISHA WANANCHI KUTOA USHIRIKIANO KWA MAKARANI WA SENSA Na Mwandishi Wetu, WHMTH, DAR ES SALAAM Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye amewataka...
0 Reactions
0 Replies
824 Views
Mwelekeo wa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassam ni ubora wa huduma na sio bora huduma. Watoa huduma za afya watapimwa kwa muda wa utoaji wa huduma za matibabu, vipimo na...
1 Reactions
0 Replies
556 Views
Tangazo la TRA kuwatumia wapangaji kukusanya kodi ya zuio kwenye upangaji wa nyumba linaweza kuathiri zoezi la sensa kwani upo uwezekano wa baadhi ya taarifa za umiliki wa ardhi, nyumba kufichwa...
1 Reactions
4 Replies
988 Views
Jitihada kadhaa zenye lengo la kuiinua sekta ya kilimo zimewahi kufanywa na serikali za awamu zilizopita lakini bado hazikufanikiwa kwa kiasi kikubwa. Moja ya iliyokuwa changamoto kubwa katika...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya kuzunguka huko na huku hatimaye wamejua ongezeko la mshahara, lawama zimeanza na wengine kuanza kumshambulia Rais. Hii haikubaliki hata kidogo. Raisi aliweka wazi ongezeko la mshahara...
15 Reactions
270 Replies
24K Views
This is Tanzanian Politik, Joseph Salasini alikimbia Chadema kama mamluki akapokelewa na James Mbatia NCCR Mageuzi kwa mbwembwe na vifijo Leo Joseph Selasini mtu wa kuja na hata miaka mitano...
8 Reactions
68 Replies
7K Views
Halmashauri Kuu ya Chama cha NCCR Mageuzi imemsimamisha Mwenyekiti wake, James Mbatia kufanya shughuli zote kisiasa za chama hicho mpaka pale atakapoitwa kwenye mkutano mkuu kujieleza. =======...
18 Reactions
162 Replies
15K Views
ZIARA YA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM- BARA NYANDA ZA JUU KUSINI. Ziara ya Ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndugu Abdulrahman O. Kinana kukagua uhai wa Chama pamoja na utekelezaji wa ilani...
0 Reactions
5 Replies
801 Views
Mwandishi wa habari inabidi uwe smart kutokana na mazingira sio kama wakwetu huku anamuhoji Tundu Lissu kama anamuhoji Mwijaku. Waandishi wa habari wa bongo ni wasanii tupu wapo tayari kuacha...
7 Reactions
5 Replies
828 Views
Ni katika mkutano wa kutambulishana washindi wa nafasi mbalimbali wa Azimio Makamu wa Rais mstaafu Kalonzo Musyoka amesema anashukuru Uchaguzi umekamilika kwa amani na kinachosubiriwa ni IEBC...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Rais mstaafu mzee Kikwete ameisifu Kenya kwa kuwa na Uwazi mkubwa katika Uchaguzi wake Mzee Kikwete amesema hadhani kama kuna nchi nyingine Afrika ina Uwazi katika Uchaguzi wake kama Kenya...
13 Reactions
70 Replies
6K Views
Sahivi watu wengi wanamtukana Magufuli na kumponda, juu ya matendo mabaya ya Serikali yake, binafsi naona Ni sawa maana Magufuli alikuwa katiri Sana. Sasa Kuna gege liliitwa watu wasiojulikana...
13 Reactions
35 Replies
3K Views
Back
Top Bottom