Sikiliza video hii, uthibitisho kuwa Rais anapitia JF

Hii inaonyesha uwezo mdogo alionao katika kupokea yanayomhusu.

Mengi yanajadiliwa ambayo ni challenge katika uendeshaji wa shughuli zake za kiserekali yenye faida kwa taifa, lakini yeye anaona muhimu ni hayo ya vijembe na kusutana kulikojaa umbea kama alivyosema.

Anaanza kuwa kama Manara
 
Hizo changamoto zenyewe anazisikiliza sasa au anafanya yake tu yalompeleka. Maana hata mabango ya malalamiko hayataki.

Lakini pia, uwingi wa watu si suluhisho la umaskini kwa walio wengi + kupanda kwa gharama za maisha
 
Hii inaonyesha uwezo mdogo alionao katika kupokea yanayomhusu.
Mengi yanajadiliwa ambayo ni challenge katika uendeshaji wa shughuli zake za kiserekali yenye faida kwa taifa, lakini yeye anaona muhimu ni hayo ya vijembe na kusutana kulikojaa umbea kama alivyosema.
Anaanza kuwa kama Manara
Umeona eh!
 
Back
Top Bottom