Kinana kukagua uhai wa Chama na utekelezaji wa Ilani ya CCM Nyanda za Juu Kusini

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
328
414
ZIARA YA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM- BARA NYANDA ZA JUU KUSINI.

Ziara ya Ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndugu
Abdulrahman O. Kinana kukagua uhai wa Chama pamoja na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 inaendelea na sasa ni zamu ya Mikoa ya Katavi,Rukwa, Songwe, Mbeya.

CCM Imara, Shiriki Uchaguzi Kwa Uadilifu.

#CCMChamaKiongozi
#KaziIendelee

IMG-20220724-WA0005.jpg

IMG-20220724-WA0004.jpg

IMG-20220724-WA0003.jpg
 
ZIARA YA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM- BARA NYANDA ZA JUU KUSINI.

Ziara ya Ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndugu
Abdulrahman O. Kinana kukagua uhai wa Chama pamoja na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 inaendelea na sasa ni zamu ya Mikoa ya Katavi,Rukwa, Songwe, Mbeya.

CCM Imara, Shiriki Uchaguzi Kwa Uadilifu.

#CCMChamaKiongozi
#KaziIendelee

View attachment 2302091
View attachment 2302092
View attachment 2302093
 
Hiki chama kilishatuchosha mno jamani sijui ni pepo gani hili haliondoki pamoja na kukemea kote!
Safi sana!!! basi ukiona hivo weye ndo pepo lile hasa jini makata.... ushindwe na ulegee! Ukome kukemea chama la Mama yetu Mpendwa kufa pepo rudi kuzimu!!!
 
Msiba huko aliko kavimbaaaa! Wkt kabila lake wajita wametokea huko huko ethiopia
Africa ni ya weusi woooote! Hata wale wa Usa ili mradi tu ni mweusi mipaka hii ni ya wazungu hatutaki mijadala ya kizamani....kamwe hatugombanishwi na qala makombo kinana piga kazi.....wakikwambia weye si mtz.na wao basi warudi kwao kenya .....yaani miafrica ikigombea uraia basi huwa nacheeeka! Kma chizi....mkwnya anamuona msomalia huyu nini.....mtz...mzambia anaropoka hovyo nyie watu hamkusomaaa????.....tutawafyeka mpaka mnyeee...Africa ni moja one hkna mjadala.
 
Back
Top Bottom