Rais mstaafu JK naona anasifia tume huru ya Kenya, wagombea binafsi na uwazi wa uchaguzi na anasema Africa ijifunze Kenya.
Binafsi maswali ni mengi kuliko majibu, alipokuwa Rais alifanya nini...
KUWANYIMA WATU UHURU NI CHANZO CHA VIONGOZI WENGI WAZURI KUFELI
Wakuu nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Wote kwa pamoja muitikie CHAMA KIENDELEE. Wale wasiotaka kujibu nawakumbusha...
Tuzo za heshima za Nobel huwa zinapewa kwa watu mbalimbali ikiwemo viongozi na wanaharakati.
Kiongozi mkubwa ambaye alinusurika kulifata kaburi Tundu lissu mpaka sasa hajapewa tuzo ya Nobel...
Baadhi ya Wanasiasa wa Tanzania wamedai uchaguzi mkuu wa Kenya umewapa hamasa ya namna ya kupambania hata kama Tume itakuwa hii hii ya Mahera
Nao baadhi ya Wafuasi wa Chadema wamesema Freeman...
Leo ni siku ya uchaguzi nchini Kenya upinzani mkali uko baina ya Laila Odinga kutoka Nyanza province na Ruto alie kua makamu wa Raisi wa Uhuru Kenyatta, ni Mkalejini Nandi province.
Nchi yetu Tz...
Natoa tu angalizo kwamba tumwache mwenyekiti CHADEMA Mh. Freeman Mbowe atimize majukumu yake kwa amani. Mbowe kama kiongozi mkuu wa upinzani ana wajibu wa kushirikiana na serikali kuhakikisha...
Habari za uzima wakuu, I hope ni wazima macomredi wote wapambania vyama pamoja na taifa kwa ujumla.
Niende kwenye point moja kwa moja kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, mimi ni...
Sijui Nani ana mamlaka ya kutoa hata majina lakini bila shaka Rais ana ushawishi. Nimemuomba mama Samia afikirie kuipa stendi mpya jijini Mwanza jina la Katibu wangu John Mnyika.
Nimependekeza...
Mnazuia vyama halaĺi vya siasa kufanya mikutano halali ya siasa huku wafanyao hivyo mkiwapiga mabomu na kuwakamata.
Lakini wakati huohuo mbunge wa Kawe na anayejiita mchungaji Bwana Josephat...
CCM ni ile ile, zile harakati za watu wa ndani kumpinga JPM haikuwa kwa masilahi ya nchi au watanzania kwa ujumla ile ilikuwa vita ya vigogo wenyewe. Ndio maana baada ya mabadiliko hali za...
Luhende Pius Gerald Shija Mkurugenzi Mpya wa Itigi.
* Pius alimaliza O' level Kilosa Sekondari (1990 - Kizunguzi), akaenda form six kisha diploma, akawa mwalinu wa sekondari.
* Mwanzoni mwa...
Wakati wa Utawala wa Mkono wa Chuma kuna Mtu alikuwa anajinadi kuwa Miradi aliyoianzisha hakuna wa kuikamilisha bila yeye na Wapambe wake wakawa wanasema Aongezeee Muhula wa Urais ili Aikamilishe...
Makao Makuu ya CCM - DODOMA,
Tunaomba mfuatilie suala hili kwa sababu linawaumiza wagombea wengi sana katika mkoa wa Ruvuma katika uchaguzi unaofanyika wa CCM.
Mfano wa wazi:
Kuna idadi ya watu...
Kenya imekuwa Taifa la kwanza kwa Africa ku introduce cording kwa shule za msingi, na kumbuka pia Kenya kwa sasa wana mtala npya wa elimu unaenda kwa jina la CBS- Competetive based Carriculum, huu...
Bilioni 776.6 zaelekezwa katika ujenzi, ukarabati na matengenezo ya barabara vijijini na mijini katika mwaka wa fedha 2022/23
OR TAMISEMI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na...
Ni ushauri tu kwa CHADEMA kwamba kwa sababu Makamu mwenyekiti ( bara) haishi nchini basi mpeni nguvu yule wa Zanzibar awe anazunguka mikoani sawia na komredi Kinana kufanya mikutano ya ndani...
Kazi Iendelee..
TRA wanakusudia kuanza kukusanya kodi kutoka kwa wamiliki wa nyumba za kupanga za biashara na madalali ila cha ajabu watu wanataka maendeleo ya kila aina ila hawataki kulipa kodi...
Utashangaa kiukweli hii inaonyesha ni Kwa namna gani serikali inawasikiliza watu wake hasa katika kuhakikisha inawapunguzia makali wakulima kutokana na hali ya kupanda kwa bei za mbolea katika...
Ndugu zangu Kuna kipindi fulani ilikuwa ukisikia kuwa kesho katibu mkuu wa Chadema Mh. Dr Slaa atakuwa na mazungumzo muda fulani, ni kama nchi ilikuwa inasimama. Vyombo vyote vya habari vilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.