Ziara za mwenezi Shaka zinakuwa za moto sana maana anaeleza kazi kubwa anayoifanya Rais Samia Suluhu Hassan kwa wananchi.
Anasikiliza kero na kuhakikisha wahusika wanatoa majibu...
Huwa siamini hata kidogo kama upo uwezekano wa kupata tume huru ya uchaguzi kwa namna kama Kenya walivyofanya; au hata Zanzibar walivyowahi kufanya. Kwa kilichotokea Kenya kupitia baadhi ya...
Serikali kupitia Benki ya kilimo Tanzania Agricultural Development Bank (TADB) imeweza kuwa mdau mkubwa kuwezesha mabenki kutoa mikopo kwa wakulima kutoka Benki mbili zinazotoa mikopo kwa wakulima...
Kwa niaba ya rafiki wangu huko Tanga na-share hii uzi
Barua wazi kwa mkuu wa mkoa tanga.
Mheshimiwa mkuu wa mkoa Tanga,
Ni kwa masikitiko makubwa tunakueletea malalamiko dhidhi ya club ya Ben...
Wakuu Salaam;
Ni nadra sana kuona yani sana kuona Helicopter kwenye moja ya msafara wa Raisi.
Hii helicopter iliyokua anga la singida kwenye msafara wa Rais ilikua ya kazi gani?
Hii nchi ni...
Rais Mh. Samia Suluhu Hassan ameonyesha wazi kutoridhika na utendaji kazi wa wapiga picha waliokuwa kwenye msafara wake kwa kushindwa kupiga picha nzuri zinazoonyesha umati wa watu wanaofika...
Katibu wa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka ameonesha kukerwa kwake na tabia ya fedha ya miradi ya maendeleo kucheleweshwa kwa kisingizio cha urasimu wa mifumo ya ulipaji kutofunguka kwa muda...
Hii inaitwa bampa to bampa
Fomu zote zinapokelewa Hakuna msamiati wa kukosea kujaza fomu
Pili CCM kumbe hakunaga kupita bila kupingwa
Hii ni tofauti sana na Uchaguzi mkuu au Uchaguzi wa...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na teknolojia ya habari Nape Nnauye leo anatarajiwa kuzindua huduma za mawasiliano ya Internet zitakazokuwa zikipatikana kwenye Mlima Kilimanjaro.
Kwenye ukurasa...
Nampongeza sana Mhe Paschal Mayalla kwa kuzingatia kichwa cha habari hapo juu
Mvumilivu hula mbivu walisema Wahenga wetu
Endelea kuwa Mtulivu, Makini, Msikivu, Mnyenyekevu na Mtiifu.
Kuna...
Uzinduzi wa Huduma za Mawasiliano ya Intaneti Mlima Kilimanjaro, Agosti 16, 2022
Waziri Nape Nnauye:
Nawapongeza TTCL kwa kunialika kushiriki tukio hili la uzinduzi wa huduma ya mawasiliano ya...
Mbunge wa Hai ndugu Saashisha Mafuwe amekuwa source ya mgogoro kati ya muwekezaji wa makoa farm na wananchi wa kijiji cha uduru ambao ndiyo wamiliki wa shamba hilo. Muwekezaji huyo mjerumani...
RAIS SAMIA ANAMUENZI NYERERE KUREJESHA NAFASI YA TANZANIA KIMATAIFA- KAFULILA
====
Mkuu wa Mkoa Simiyu , Mhe David Kafulila amesema kuwa ziara za Mhe. Rais duniani mbali ya faida lukuki za...
Wale makamishina wanne wa tume ya uchaguzi ya kenya wametoa sababu kwa nini hawakubaliani na matokeo yaliyotangazwa na mwenyekiti wa tume yao. Raila ametumia hoja ya makamishina hao kama msingi wa...
Ukimya wako kwenye mambo ya Taifa na Kimataifa?
Umelipwa Madai yako ya Ubunge, lakini bado hatuoni zile kauli za kuwa "Sasa narudi nyumbani"
Serikali kupitia Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi...
Na Simon Mkina
MARA zote serikali zenye kuongozwa na watawala dhalimu duniani, huzima mtandao wa intaneti kwa madai makubwa matano; kuimarisha usalama wa taifa, kulinda uchaguzi, kuepusha vurugu...
Tume ya uchaguzi nchini Kenya 16-08-2022 ilitangaza matokeo ya Urais ambapo Wiliam Ruto aliteuliwa kuwa Rais mteule wa awamu ya Tano wa taifa la Kenya , kutokana na kuteuliwa kwake kuwa Rais, nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.