Joseph Selasini alikaribishwa NCCR na Sasa anamfukuza James Mbatia aliyemkaribisha NCCR

GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,866
11,100
This is Tanzanian Politik,
Joseph Salasini alikimbia Chadema kama mamluki akapokelewa na James Mbatia NCCR Mageuzi kwa mbwembwe na vifijo

Leo Joseph Selasini mtu wa kuja na hata miaka mitano hana anaamua kumtimua mwenyekiti wake bwana Mbatia wa NCCR Mageuzi

Watch what will happen in the next few weeks,

James Mbatia atahamia Chadema na ataapokelewa kwa Mbwembwe chadema

James Mbatia akiwa Chadema atawalaghai na kuanza kupambana awe mwenyekiti na huu ndio utakuwa mwisho wa Freeman Mbowe

Hakuna kitu cha bahati mbaya, Haya yote ni pre planned

Hii mission Chadema wakiweza kupona hapa basi haitakufa tena

Wapinzani kila wakivurugana wenyewe wanatusingizia ni sisi ccm tumewavuruga, Kwenye hili tumewapa hints kidogo kuwa mnavurugana wenyewe

I say never under estimate James Mbatia

Pascal Mayalla anamfahamu vizuri who is Mbatia in this country, The role of Mbatia Katika siasa zetu tangu 1992
 
Hakuna kitu hapa

The most likely scenario ni Mbatia na genge lake kuwatimua hao wanaotaka kumtimua

Wenyeviti wa hivi vyama ya siasa technically wanavimiliki hivi vyama
 
Watajua wao wenyewe kikubwa watumishi tuendelee kuiba pesa za umma wao wanaita kula kwa kamba
 
This is Tanzanian Politik,
Joseph Salasini alikimbia Chadema kama mamluki akapokelewa na James Mbatia NCCR Mageuzi kwa mbwembwe na vifijo

Leo Joseph Selasini mtu wa kuja na hata miaka mitano hana anaamua kumtimua mwenyekiti wake bwana Mbatia wa NCCR Mageuzi

Watch what will happen in the next few weeks,

James Mbatia atahamia Chadema na ataapokelewa kwa Mbwembwe chadema

James Mbatia akiwa Chadema atawalaghai na kuanza kupambana awe mwenyekiti na huu ndio utakuwa mwisho wa Freeman Mbowe

Hakuna kitu cha bahati mbaya, Haya yote ni pre planned

Hii mission Chadema wakiweza kupona hapa basi haitakufa tena

Wapinzani kila wakivurugana wenyewe wanatusingizia ni sisi ccm tumewavuruga, Kwenye hili tumewapa hints kidogo kuwa mnavurugana wenyewe

I say never under estimate James Mbatia

Pascal Mayalla anamfahamu vizuri who is Mbatia in this country, The role of Mbatia Katika siasa zetu tangu 1992
Ndio tabia ya hiki chama, kafulila akaalikwa akataka kumpindua akina Mvungi
 
Never ever .. Mbowe is the smartest politician among them all.. Ndio maana ameweza kuivusha CHADEMA kwenye magumu yote..!
Mamluki wote wameshindwa kuibomoa CHADEMA ndio itakuwa Mbatia?
 
This is Tanzanian Politik,
Joseph Salasini alikimbia Chadema kama mamluki akapokelewa na James Mbatia NCCR Mageuzi kwa mbwembwe na vifijo

Leo Joseph Selasini mtu wa kuja na hata miaka mitano hana anaamua kumtimua mwenyekiti wake bwana Mbatia wa NCCR Mageuzi

Watch what will happen in the next few weeks,

James Mbatia atahamia Chadema na ataapokelewa kwa Mbwembwe chadema

James Mbatia akiwa Chadema atawalaghai na kuanza kupambana awe mwenyekiti na huu ndio utakuwa mwisho wa Freeman Mbowe

Hakuna kitu cha bahati mbaya, Haya yote ni pre planned

Hii mission Chadema wakiweza kupona hapa basi haitakufa tena

Wapinzani kila wakivurugana wenyewe wanatusingizia ni sisi ccm tumewavuruga, Kwenye hili tumewapa hints kidogo kuwa mnavurugana wenyewe

I say never under estimate James Mbatia

Pascal Mayalla anamfahamu vizuri who is Mbatia in this country, The role of Mbatia Katika siasa zetu tangu 1992
Selasini alikuwa NCCR-Mageuzi kwanza kabla ya kuhamia CHADEMA, tangu enzi za Mrema.
 
Yaani Mbatia aue Chadema ? Hiki ni kituko cha kiwango cha chini sana !
 
System at work!!!!
 
Kama hamjui ni kuwa Joseph Selasini ni moja ya waasisi wa NCCR Mageuzi,na hata uchaguzi Mkuu wa kwanza wakati Mrema anagombea Urais kupitia NCCR yeye ndio alikuwa MC wa shughuli zote za kampeni za Mrema kipindi hicho NCCR ni moto haswa akiwa yeye na ndugu yake Marehemu Dr Masumbuko Lamwai.
 
Mbona hadithi yako hujaikamilisha:
Mbatia atakapomtimua Mbowe huko chadema, Mbowe atatimukia ccm na kupokelewa kwa ndelemo na mbwembwe. Baada ya kuwa huko naye atamtimua mwenyekiti wa CCM ambaye atatimukia CUF na hatimaye kumtimua Prof Lipumba ambaye atatimkia ACT wazalendo na kumtimua Bw. Zitto Kabwe ..... and cycle will continue. Aluta continue aka Mapambano yanaendelea.
 
Back
Top Bottom