Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu Kuna kipindi fulani ilikuwa ukisikia kuwa kesho katibu mkuu wa Chadema Mh. Dr Slaa atakuwa na mazungumzo muda fulani, ni kama nchi ilikuwa inasimama. Vyombo vyote vya habari vilikuwa...
4 Reactions
66 Replies
4K Views
Jionee vituko vya machawa "Sijapata kuona haki ya Mungu! Awamu ya sita imemwaga mahela mengi ya maendeleo haijapata kutokea tangu nimekuwa senator wa bunge hili, haki ya Mungu! Zimemwagika hela...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
BARUA YANGU YA WAZI KWA MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUHUSU KATIBU MKUU WA TAMISEMI INJINIA JOSEPH NYAMHANGA. Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa mama Samia...
4 Reactions
6 Replies
4K Views
Mawakili wa upande wa utetezi kesi namba mbili ya mwaka 2022, inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne wameieleza mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kuwa hali...
3 Reactions
73 Replies
7K Views
Tangazo la kazi IRS ya USA ambayo ndiye mkusanyaji kodi wa USA kama TRA kwetu, ukisoma majukumu na masharti ya mkusanyaji kodi kwamba awe tayari kutumia nguvu ikibidi kuua ili kukusanya kodi...
4 Reactions
48 Replies
4K Views
Katika mwaka wa fedha 2022/23 Serikali ya Rais Samia Suluhu imewekeza Tsh 169bn/- kwenye ujenzi wa vyuo vya ufundi (VETA) 60 nchi nzima.
8 Reactions
36 Replies
3K Views
Mimi sio mtaalamu wa historia, ila kwa historia yangu ndogo niliyopata O-level ninaamini Tanganyika chini ya Ujerumani ingekuwa Taifa kubwa sana hapa Afrika zaidi ya hapa ilipo leo. Waliotuharibia...
9 Reactions
45 Replies
4K Views
February 24, 2020 Mahakama Kuu ya Tanzania siku ya Jumanne Februari 25 mwaka huu itasikiliza maombi ya aliyekua mbunge wa Singida Mashariki,Tundu Lissu anayetaka apate kibali cha kuukatia rufaa...
3 Reactions
32 Replies
6K Views
Rais mstaafu mzee Kikwete ni mpenda Demokrasia ndio sababu anasema ukweli juu ya ubora wa IEBC. Nakumbuka 2015 alikataa mambo ya Wagombea kupita bila kupingwa kwenye kura za maoni CCM na hata...
2 Reactions
4 Replies
606 Views
Ndio Zitto Kabwe mlengo wake upo wazi. Ni kiongozi mkuu wa chama Cha ACT Wazalendo . Chama chake ni mshirika katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, viongozi wote wa ACT kuanzia mabaraza ya...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
KINANA AELEZA JINSI RAIS SAMIA ALIVYOKIDHI VIGEZO VYA URAIS Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kuwa, Rais Samia Suluhu Hasasan ameshika nafasi hiyo kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa...
1 Reactions
6 Replies
896 Views
Waziri wa Afya, Waziri Ummy Mwalimu amesema katika Mkoa wa Iringa kuna tatizo kubwa la udumavu kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano. Ameyasema hayo leo Agosti 13, 2022 akidai kuwa kiwango...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanabodi, Wanabodi, Ijumaa ya leo nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa, leo nikiulizia kuhusu msimamo wa rais Magufuli kutosafiri nje hata kwa zile safari...
13 Reactions
142 Replies
14K Views
Wapiga Kura wa KENYA wanaenda kupiga KURA na KUWACHAGUA waliowapigia KURA. Wapiga KURA wa Tanzania wanaenda kupiga KURA na Kuchaguliwa WASIO Wapigia KURA. Hizo Tofauti ni kutokana na KATIBA za...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Pongezi nyingi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia suluhu Hassan kwa ziara aliyoifanya katika Mikoa mitatu,ziara iliyohusisha Mkoa wa Mbeya,Njombe na Iringa kwa mfululizo bila...
4 Reactions
27 Replies
1K Views
Sasa kama Super Brand hamjali ratiba ya vipindi hao wengine wakoje? Naikubali sana Citizen tv
0 Reactions
0 Replies
568 Views
Nimetafakari Kwa kina naona shinikizo linaendelea kudai kariba mpya na mambo ya msingi yanayozungumzwa na upinzani ni Tume huru ya uchaguzi, Nguvu ya urais nk lakini suala la mgombea binafsi...
2 Reactions
11 Replies
877 Views
Nimepata nyongeza kubwa ya mshahara wakati wa Magufuli kuliko wakati wa Samia japo wakati wa Samia asilimia ni kubwa. Sina mengi ya kuongeza lakini naendelea kumshukuru Hayati DR.John Pombe...
60 Reactions
130 Replies
11K Views
Kuna kitu huwa najiuliza wakati wote kuwa sisi Tanzania kipindi cha 2015-2021 pale Mungu alipo amua ugomvi tuliaminishwa kuwa kuna vita ya kiuchumi! Huu ulikuwa ni uongo na uzandiki wa wazi...
7 Reactions
37 Replies
3K Views
Back
Top Bottom