benzemah
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 1,504
- 3,035
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara mkoani Tanga, siku ya Jumapili Agosti 14 Mwaka huu.
Katika ziara yake mkoani Tanga Rais Samia Suluhu anatarajiwa kuzindua Chuo cha Jeshi la uhamiaji cha Taifa pamoja na kufunga mafunzo ya askari 818 wa Jeshi la uhamiaji chuoni hapo.
Rais Samia anafanya ziara mkoani Tanga ikiwa ni siku moja tu tangu ahitimishe ziara ya siku Tisa katika mikoa mitatu tofauti nchini (Mbeya, Njombe na Iringa) kuanzia tarehe 5 hadi 13.