Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

VICHWAVYA HABARI KWENYE MAGAZETI NA MIJADALA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII DESEMBA 2025 1. Ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha SGR kuunganisha Tanzania na nchi za Uganda, Rwanda, Burundi na DRC...
9 Reactions
56 Replies
5K Views
Mimi kuna ishu hii inanidatisha...nimesikia kwa chinichini TTCL imeingia kwenye 4G sijajua ni kisiasa au vp!!!!?...maana sijaona hata tangazo lao moja....hivi ni wanaifanyia test au wameingia...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Haina shaka kwamba pombe na sigara, soda na vinywaji aina yake, na pengine sekta ya madini, ndio visababishi vikubwa vya maradhi. Visababisha maradhi basi viwe na mchango katika tiba. Serikali...
4 Reactions
38 Replies
2K Views
Kama kuna sehemu hii nchi inafeli ni kwenye Uchafu wa hii miji plus mipango miji ya hovyo sana, Majiji yamejaaa majumba na Masoko kila kona, Viwanja ambavyo hata zingejengwa Bustani wamepewa...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Ndugu wanabodi, naleta kwenu hoja hii ili tuijadili kwa pamoja ili nikipata ushauri mzuri nipate mahali pakuanzia kumpeleka Jecha mahakamani kwan kimsingi amevunja katiba. Nijuavyo mimi...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Thi is the reason: The cost of living with people or in a society that ignores politics or that takes if for granted, and yet the same people go to polling stations during election process, is...
4 Reactions
6 Replies
753 Views
Habari ndugu wadau.Tangu mwaka 1995 tumekuwa tunafanya uchaguzi hewa na kutumia fedha kiasi kikubwa wakati tuna matatizo ya kumwaga. Sasa naomba tukubaliane kama hatuko tayari kupata katiba mpya...
0 Reactions
0 Replies
516 Views
Wamerudi maeneo ya Tabata na hawa madogo wanapovamia hujinasibu kua hakuna wa kuwafanya kitu na huahidi kurudi eneo la tukio tena baada ya mda. Hawa watu hushirikiana na Polisi hasa kugawana vitu...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Uzalendo ni pamoja na kuyaweka wazi yanayotukera katika nchi bila kujali yanafanywa na nani. Ndugu zetu pale kijitonyama, wasiojulikana, waziri Masauni hadi mama Samia tuvumiliane tu. Uzalendo...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Kamati ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC) imesema, imebaini Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unatengeneza nakisi katika mapato na matumizi, jambo ambalo linatishia uhai wa mfuko...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Mbunge mstaafu wa Rombo ( CHADEMA) Mh. Selasini amesema tozo zinaumiza Wananchi hivyo zifutwe. Selasini amesema tozo hazikufanyiwa utafiti ndio sababu wananchi wanaumizwa hivyo zifutwe na...
9 Reactions
14 Replies
1K Views
Wanabodi, Natafakari kidogo hali ya Zanzibar!. Kujitangazia matokeo ni kosa la jinai!, kama ni kweli Maalim Seif, amejitangazia ushindi, kwa nini mpaka sasa hajashitakiwa? Na kilichofanywa na...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wadau, amani iwe kwenu. Ni nchi chache duniani zimebahatika kuwa na kiongozi mwenye maono na fikra ya muda mrefu juu ya nchi yake. Rais Magufuli ni mmoja wapo. Ameyastudy mazingira ya Tanzania na...
32 Reactions
99 Replies
10K Views
Ziara ya Rais Samia Suluh Hassan Mkoani Njombe, kijiji cha Mtwango. Waziri wa Kilimo Mh. Hussein Bashe ametoa uhakika wa upatikanaji wa mbolea kwa bei ya ruzuku hata kwa wakulima ambao hawatakuwa...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau, amani iwe kwenu. Kama kuna watu wanatamani Utawala wa Rais Magufuli usifike 2020, basi miongoni mwao ni hawa wafuatano. 1. Wauzaji na watumiaji wa Madawa ya Kulevya 2. Wakwepa kodi na...
19 Reactions
82 Replies
7K Views
Iringa: Katibu wa Taasisi ya CINT, Innocent Nganyagwa polisi wamkamata Innocent Nganyagwa, adhalilishwa na kuimbishwa nyimbo za reggae ili aachiliwe huru. Baadaye wakamuachi kwa kile kilichodaiwa...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Tanzania imeanza kuhama toka nchi ya dunia ya tatu ambapo kila kitu kinafanywa manual, Sasa tunaelekea kuwa ni nchi ya dunia ya kwanza, vitu vingi vitakuwa mechanized, kwa kuanzia huduma zote za...
16 Reactions
97 Replies
11K Views
Wanabodi, Angalizo: Facts are very stubborn things, hivyo ninachoandika hapa ni facts, yaani kitu halisi kilichopo na sio dhana, wala sio hisia, wala mambo ya kufikirika, hivyo yoyote...
16 Reactions
161 Replies
26K Views
Nimetuma 100,000 kwenda tigo pesa kwa simbanking, VAT sh. 974.70, govt levy sh. 1,009.00, TMS CHARGE TIGO 5,415.00, wenye akili timamu nimekatwa sh 7,398.7 kwa transaction hii moja tu. Pesa...
64 Reactions
203 Replies
12K Views
Wanabodi, Preamble: Mimi ni mwana fasihi, hapa nimetumia tamathali za semi, kwa kubakwa kwa demokrasia, na sio kubakwa kule kwa wale wenye mawazo machafu!. Hii ni thread ya swali!, "Jee Kubakwa...
2 Reactions
142 Replies
22K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…