Iringa: Polisi wamkamata Innocent Nganyagwa, adhalilishwa na kuimbishwa nyimbo za reggae ili aachiliwe huru

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,808
11,973
Iringa: Katibu wa Taasisi ya CINT, Innocent Nganyagwa polisi wamkamata Innocent Nganyagwa, adhalilishwa na kuimbishwa nyimbo za reggae ili aachiliwe huru. Baadaye wakamuachi kwa kile kilichodaiwa wamekosea kumkamata, sio yeye alikuwa anatafutwa.
IMG-20220831-WA0004.jpg
 
Wamlipe kwa burudani aliyotoa..., kwani kwa kawaida huwa anafanya show kwa bei gani ?

Angewaimbia I Shot the Sherrief....
 
Back
Top Bottom