Naona fursa kwa serikali ya mkoa wa DSM, lakini wao hawaioni.
Hizo stendi binafsi zilipiwe tozo, hata kama milioni kadhaa kwa mwaka, na pia mabasi yote ya kampuni husika yalipie ushuru wa stendi...
Kama kuna ajenda ambyo Mheshimiwa Rais wetu ameivalia njuga basi ni mageuzi kwenye vyombo vya ulinzi na usalama pamoja ni mifumo ya utoaji haki!
Katika hilo wanao nyooshewa sana kidole hadharani...
Wanabodi, tangu kufutwa kwa matokeo halali ya uchaguzi mkuu wa Zanzibar wa October, 25, kila siku tumekuwa tukishuhudia watu wakipiga makelele tuu ya kulalamika lakini hakuna yoyote anayechukua...
Hii amri ya abiria toka mikoani kushushwa Mbezi mbona hatupewi ukweli, siku zilizopita ilidaiwa mkuu wa mkoa alilalamikiwa na wafanyabiashara kuwa wanakosa wateja!
Hivi sasa tunaambiwa eti ni...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la kitu kipya humu kinachoitwa "Jicho Ona".
Jicho Ona ni vile vitu ambavyo kwa jicho la kawaida vinaonekana kama ni vitu vizuri jambo jema, jambo zuri, jambo la...
BASHUNGWA ATOA MAAGIZO KUHUSU MALALAMIKO YA WANANCHI KATIKA STENDI WA MAGUFULI DAR ES SALAAM
Na OR-TAMISEMI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent...
Tumeambiwa zaidi ya 600bn/- zimetumika kwenye sensa tuliyoambiwa ni ya watu na makazi. Tungali tunajitafakari wanakuja na jipya:
Hili nalo ni zoezi la bilioni ngapi? Hivi makazi na majengo nini...
Kwa kweli Katika hotuba aliyoitoa leo huko kwenye Chuo cha Polisi Moshi, Rais Samia ameamua kuyaweka wazi maovu yanayofanywa na Jeshi hilo la Polisi na hivyo nampongeza Sana Rais wetu kwa ujasiri...
Mhe. Innocent Bashungwa (MB) Waziri wa Nchi OR - TAMISEMI, Hongera kwa kazi nzuri unayofanya ya kuendelea kumsaidia Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Mhe. Waziri...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya ITIGI amemshambulia na kuua mtu mmoja kisa mgogoro wa shamba.
Mkurugenzi huyo amemuua mtu huyo ndani ya kanisa la sabato kwa bunduki.
UPDATES:
Kamvamia mtu akiwa...
Wananchi wa Kibamba Shule wamalamikia kitendo cha TANROADS kubomoa nyumba zao bila kuwapa taarifa na Kesi ikiwa mahakamani.
Wananchi hao wamedai mali zao zimeharibwa na nyingine kuibiwa katika...
Kelele zimepigwa sana. Kwa hakika zimesikika. Katokea Msigwa eti kutaka utulivu huku tozo zikiendelea.
Kelele za kudai haki nazo zimeendelea kusikika huku zikiangukia kwenye masikio yaliyoziba...
Shirika la Umeme Tanzania TANESCO limethibitisha kutokea kwa hitilafu hiyo kwenye moja ya mitambo ya kuzalisha umeme ya Bwawa la Mtera na kusababisha upungufu wa Umeme.
Mikoa 14 itakayokosa Umeme...
HAKIKISHA UNAHESABIWA,
Wasalaam,Tanzania.
Huko kwenye group la Whats app Kafulila David anaandika " Kila Mtanzania lazima afahamu kuwa Sensa hii ni muhimu Sana kwani ndio sensa...
Wajasiriamali wanaumia wanaangaika wananyanyaswa nani awasemee vilio vyao ni juu ya Serikali, wamekuwa wakilia kwani wakuu wa idara hawalioni hili
Viongozi wa machinga wao hawalioni hili au...
Baada ya kuwa Mwanza kwa takriban miezi mitatu, juma lililopita nikarejea na kuamua kukusanya ndengu Jimbo la Iramba na hivyo kunilazimu kutembelea vijiji ambavyo wanalima ndengu.
Ndengu ni...
Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums amesema ukusanyaji holela na kuzagaa kwa taarifa binafsi za watu mitaani ikiwemo makaratasi yanayotumika kama vifungashio vya chakula au madawa ni madhara ya...
Watu wa aina ya Mdude Nyangali wa CHADEMA wapo sana kwenye jamii na tabia zao mara nyingi huwa zinakereketa na kujenga mtizamo hasi.
Siasa za Mdude Nyangali sio za kiuanaharakati, sio za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.