Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hapo awali ni wapangaji wa nyumba, pango na maofisi kwa ajili ya ya Biashara (commercial/business Building) ndiyo waliokuwa wakitakiwa kulipa kodi iitwayo withholding tax ya asilimia kumi (10%)...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Huu hapa ni ukweli ulio mchungu, hasa kwa aubebaye mzigo huu: Kwa hakika kwa mlamba asali, chawa au kibaraka wao, maisha si ndiyo haya sasa? Inafahamika kusikia kwenu ni kule kwa kenge...
3 Reactions
15 Replies
981 Views
Nimekuwa nikimsikiliza waziri wa fedha na Tamisemi wakieleza mafaniko ya tozo huku wakionyesha ujenzi wa madarasa na zahanati kwenye vijiji na Tarafa mbalimbali. Swali kubwa hapa ile trillion 1.2...
3 Reactions
3 Replies
372 Views
Kimsingi mambo yote ya Serikali hupitishwa bungeni Mishahara ya Watumishi hupitishwa bungeni tena kwa sheria baada ya mjadala wa Bajeti na wabunge kupinga kura Kwa kuwa Bunge lilijadili na...
2 Reactions
9 Replies
909 Views
Ukimya umekuwa mkubwa kwa wanaharakati na wanasiasa ,ukimya ambao unashtusha na kutia hofu kubwa. Leo hii yupo wapi Zitto Kabwe tuliyemzoea kukosoa serikali kwa hoja zenye mashiko, yupo wapi...
9 Reactions
116 Replies
5K Views
Naanza kwa kusema mimi ni kijana mdogo pro. CCM chama Mama Tanzania, wengine wanavuma kwa msimu kwa kupokezana wanaondoka. Kitaasisi nakiona chama changu kikitawala miaka mia kadhaa mbele. Acha...
0 Reactions
1 Replies
546 Views
UVCCM KWENYE VITA YA MAFUTA TUPO UPANDE GANI? Na Elius Ndabila 0768239284 Mjadala mkubwa kwa Taifa letu ambao unashika kasi kila kuitwapo leo ni kupanda Kwa gharama ya maisha kuliko sababishwa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Ukiiangalia Zanzibar kama Zanzibar nipadogo lakini padogo penye mambo makubwa, mhalifu kutoka eneno lolote anaweza kuingia Zanzibar", Rais Samia ameyasema hayo alipokuwa akifungua Kikao Kazi cha...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Kumekucha tena. Kesi imeshaanza kusikilizwa ambapo Raila Odinga anapinga ushindi wa Dr. Ruto. Mubashara Citizen tv. cc: Wakili Pascal Mayalla
5 Reactions
32 Replies
3K Views
Kwa namna yoyote ni lazima tulipe kodi au tozo ili tusimame kama nchi inayojitegemea. Wahuni wameharibu maana nzima ya tozo au kodi kiasi cha kuzua taharuki nchini.yaani watendaji wetu wamefanya...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Bado tuko nyuma kiasi fulani. Pale Kawe Halima Mdee alidaiwa kukamatwa na kura kwenye mabegi meusi. Kule Arusha kura zilikamatwa kwenye hotpot ya ugali. Wenzetu hapo jirani wanaiba kielektroniki...
0 Reactions
1 Replies
517 Views
27 June 2022 HUMAN RIGHT ACTIVIST SUFFERS DEFEAT OVER DEATH SENTENCE By FAUSTINE KAPAMA-Judiciary THE Full Bench of the Court of Appeal has dismissed the appeal lodged by human right activist...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Mbali na tamko la waziri la waziri wa kilimo Mh. Hussein Bashe kutoa bei elekezi ya mbolea kuwa ifikapo tarehe 15/08/22 maduka yote nchini yanayouza pembejeo za kilimo yawe yameshusha bei ya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa nilichokishuhudia uwanja wa Taifa ni aibu kwa mamlaka za mpira wa miguu hapa Tanzania. Kundi kubwa la mashabiki waliosemekana ni wa Yanga walishangalia bila aibu goli/ushindi wa timu ya Taifa...
7 Reactions
53 Replies
5K Views
Nadhani hili ndio tatizo kuu nchi, hii yaani watu wanaamini kuwa wameletwa Duninia.kusemewa na kutetea na kwamba kuna watu special walio kuja duniani kuwatetea. Haya makato mapya mfano wafanyakazi...
0 Reactions
5 Replies
538 Views
Tumefundishwa kwamba serikali ni watu na watu ndio serikali. Serikali sio 'dubwana' fulani hivi; bali serikali inaundwa na watu wanaotoka miongoni mwa wananchi na kuhusisha wananchi wote...
2 Reactions
8 Replies
679 Views
VICHWAVYA HABARI KWENYE MAGAZETI NA MIJADALA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII DESEMBA 2025 1. Ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha SGR kuunganisha Tanzania na nchi za Uganda, Rwanda, Burundi na DRC...
9 Reactions
56 Replies
5K Views
Mimi kuna ishu hii inanidatisha...nimesikia kwa chinichini TTCL imeingia kwenye 4G sijajua ni kisiasa au vp!!!!?...maana sijaona hata tangazo lao moja....hivi ni wanaifanyia test au wameingia...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Haina shaka kwamba pombe na sigara, soda na vinywaji aina yake, na pengine sekta ya madini, ndio visababishi vikubwa vya maradhi. Visababisha maradhi basi viwe na mchango katika tiba. Serikali...
4 Reactions
38 Replies
2K Views
Kama kuna sehemu hii nchi inafeli ni kwenye Uchafu wa hii miji plus mipango miji ya hovyo sana, Majiji yamejaaa majumba na Masoko kila kona, Viwanja ambavyo hata zingejengwa Bustani wamepewa...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom