Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,894
- 20,375
VICHWAVYA HABARI KWENYE MAGAZETI NA MIJADALA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII DESEMBA 2025
1. Ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha SGR kuunganisha Tanzania na nchi za Uganda, Rwanda, Burundi na DRC umekamilika. Kukamilika kwa ujenzi huo maana yake ni kwamba hakuna Lori litakaloruhusiwa kubeba mizigo inyozidi tani10 kuelekea nchi hizo.
2. Serikali imenunua mabehewa ya mizigo 300, ya Abiria 100 na vichwa vya Treli ya Umeme 20. Manunuzi hayo yamefanyika kwa Cash baada ya Serikali kukusanya fedha za kutosha kupitia vyanzo vya ndani.
3. Zaidi ya Madereva wa Malori 200 wamepoteza ajira baada ya Treli ya mizigo kuanza safari zake mikoa ya kanda ya ziwa na nchi za Rwanda, Burundi, DRC na Uganda. Hata hivyo, Serikali imetangaza kuwaajiri madereva wote na watapangiwa majukumu mengine.
4. Bandari ya Dar es Salaam kwa sasa ni nyeupe kabisa baada ya Ujenzi wa Bandari kavu ya Mlandizi kukamilika. Kwa sasa wastani wa meli kusubiri bandarini ni masaa 24.
5. Ujenzi wa Bandari ya Mtwara umepunguza msongamano wa misigo kwenye Bandari ya Dar es Salaam. Kwa sasa, mizigo ya nchi za Malawi, Zambia na hata Msumbiji inashushwa na kupakiwa Bandari ya Mtwara
6. Wakala wa Umeme vijijini, REA umefikia tamati baada ya kuunganisha umeme kwenye vijiji vyote Tanzania na hivyo kuwa nchi ya kwanza kusambaza umeme vijijini Barani Afrika.
7. Miradi yote ya Maji kwenye vijiji vyote Tanzania Bara na Visiwani imekamilika. Hivyo, wastani wa umbali wa kutafuta maji umefikia mita 10.
8. Serikali kupitia Shirika la Ndege nchini, ATCL imefanikiwa kununua ndege nyingine za kisasa 20 na hivyo kuwa shirika la kwanza la Ndege Afrika kuwa na ndege nyingi zinazoenda karibu nchi zote duniani.
9. Kwa mara ya kwanza vyama vya upinzani vimeshindwa kupata wabunge wengi Bungeni baada ya chama kikuu cha upinzani, CHADEMA kuambulia wabunge 3 tu. vyama vingine havijapata kiti hata kimoja.
10. Kwa mara ya kwanza Serikali kupitia TPDC wamefanikiwa kufikisha mabomba ya gesi kwenye mikoa yote ya Tanzania. Pia mabomba hayo yamefika nchi jirani za Rwanda, Kenya, Uganda, Msumbiji, Malawi, DRC na Zambia. Tanzania itakuwa nchi ya kwanza kwa uzalishaji wa Gesi Asilia Duniani.
11. Kasi ya ujenzi wa viwanda imeongezeka ambapo kwa sasa ni asilimia 5 tu ya bidhaa zinazohitajika nchini zinaagizwa nje ya nchi. Tanzania sasa ni nchi ya kwanza Barani Afrika kwa kuwa na viwanda vingi na imealikwa kujiunga na nchi za G 7.
12. Sera ya Elimu Bila Malipo imepanuka na sasa wanafunzi wanasoma bila malipo hadi ngazi ya chuo kikuu
13. Huduma ya Afya imeboreshwa nchini na sasa kila kijiji na Mtaa una Kituo cha Afya chenye miundo mbinu yote, madaktari bingwa na madawa ya kutosha.
14. Kasi ya ukuaji uchumi imeongezeka kutoka asilimia 7 mwaka 2016 hadi asilimia 30 mwaka 2024.
Nani Kama Magufuli?