Panya road: Ni vibaka wanaoshirikiana na Polisi?

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
821
1,338
Wamerudi maeneo ya Tabata na hawa madogo wanapovamia hujinasibu kua hakuna wa kuwafanya kitu na huahidi kurudi eneo la tukio tena baada ya mda.

Hawa watu hushirikiana na Polisi hasa kugawana vitu wanavyo pora baada ya kuviuza hakuna mtu anaweza sema hili kwa sababu linagusa watu nyeti pia walio Polisi. Mtaani kuna tarifa za wezi na tunawajua lakini mda mwingine tunahofua ukisema ukajulikana wewe ndio unakua target.

Rai yangu wana nzengo jihami ukiweza kupata silaha hakikisha akija kwako fumua hata ubongo maana ukimkosa ana wewe au ndugu yako au jirani yako.
 
Si ameteuliwa IJP mpya wambura,sirro mlisema alichemsha.Mpigie wambura au kingai uwaeleze hayo,tunakoelekea kila kitu kitashindikana na kwa vile askari wote sasa hivi wanatakiwa kukaa kambini
 
Acheni kulalama. Fanyeni kama Brazil, baada ya polisi kushindwa wananchi wakaamua kujilinda. Kuna video ya Wabrazil wakijilinda wenyewe.
 
Ndugu yangu, hata baadhi ya Watu wa TAKUKURU siku hizi wanashirikiana na Watoa rushwa.
Ukikumbana na viashiria vya Rushwa ukaripoti TAKUKURU, TAKUKURU wanapeleka taarifa kwa anayetaka kupokea rushwa.
Hali ni mbaya sana sasa.
 
Nimewahi sikia hii kitu….
 
Acheni kulalama. Fanyeni kama Brazil, baada ya polisi kushindwa wananchi wakaamua kujilinda. Kuna video ya Wabrazil wakijilinda wenyewe.
Mimi nafikiri sasa ifikie wakati Watanzania tuache kulialia tufanye kazi wenyewe.
Ni kuungana,kujipanga na silaha watakapovamia mahali ni kuitana tu mwenye bunduki,mwenye rungu,mwenye panga na kuwafundisha adabu.
Wakishapewa kichapo cha mbwa koko mara 3 tu wenyewe wataacha.
 
Hii itakuwa sweetie war
 
Wamerudishwa kuja kuhamisha mjadala wa Tozo.hii huwa nmbinu yakijinga sana.
 
Wanaume wa Dar acheni uzembe.
Mnashindwa kujipanga amkawadhibiti hao watoto wa miaka 16-22??

Mm nawapa shime hao watoto wawndelee kuwapa kibano mpk akili iwakae sawa. Watoto muwazae wenyewe halafu wanawatia jambajamba??

Watoto endeleeni mpk mkomae muitwe Nguruwe Road.
 
Back
Top Bottom