Why we shouldn't take politics for granted?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
41,143
2,000
Thi is the reason:

The cost of living with people or in a society that ignores politics or that takes if for granted, and yet the same people go to polling stations during election process and vote for politicians , is not only very huge, but also is never affordable to everyone including the richest individuals within that society.

Mifano michache ilio hai leo hii:

Hakuna tofauti ya MO na mkulima wa korosho katika kulalamika.

Hakuna tofauti ya mfanyabiashara mkubwa na mtumishi wa umma katika kunung'unika.

Hakuna tofauti ya mwanasiasa wa CCM na yule wa upinzani katika kulalamika (Bashe ni mfano hai leo hii), n.k

Tumefikaje hapa?

Ni kwasababu kwa miaka mingi watanzania tumekuwa tukichulia siasa kama jambo la mzaha mzaha na kuchagua watu kwa misingi ya eti mimi ni tajiri,hiki ni chama changu, chama hiki kimenilea, baba yangu alikuwa mwana CCM, nimepewa kitenge, n.k.

Kuna wenzetu wa chama fulani bado wanaendelea kuchukulia mambo ya siasa na wanasiasa kwa mazoe wakidhani wao ndio wako salama, ila wajue tu kuna gharama ya kulipa inayowasubiri huko mbeleni ambayo ni kubwa kuliko uwezo walionao.
 
Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
41,143
2,000
Leo ni changamoto ya upumuaji ambapo hata matajiri waanaangamia/wako hatarini kama sisi masikini kutokana na mzaha wa wanasiasa wetu katika hili gonjwa.

Tungekuwa serious na tukaweka tofauti kando,tungeungana kupata viongozi makini na sio hawa wanaoleta mazaha na maisha yetu na hii ndio gharama tunayolipa na tutayolipa kwa kuchukulia siasa na mambo ya siasa kimzahamzaha na kishabiki.

Kamanda alituambie tuandamane tukapuuza, sasa tukubali matokeo na hii ndio gharama ya kupuuzia siasa na mambo yake.

CC:Wale wote wenye tabia ya kusema mimi huwa sifuatilii siasa lakini leo wanalaumu maamuzi ya watawala kuhusu chanjo,.usiri wa ugonjwa, n.k

brazaj hii hapo juu ndio ilikuwa mada yenyewe.
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
7,363
2,000
Thi is the reason:

The cost of living with people or in a society that ignores politics or that takes if for granted, and yet the same people go to polling stations during election process and vote for politicians , is not only very huge, but also is never affordable to everyone including the richest individuals within that society.

Mifano michache ilio hai leo hii:

Hakuna tofauti ya MO na mkulima wa korosho katika kulalamika.

Hakuna tofauti ya mfanyabiashara mkubwa na mtumishi wa umma katika kunung'unika.

Hakuna tofauti ya mwanasiasa wa CCM na yule wa upinzani katika kulalamika (Bashe ni mfano hai leo hii), n.k

Tumefikaje hapa?

Ni kwasababu kwa miaka mingi watanzania tumekuwa tukichulia siasa kama jambo la mzaha mzaha na kuchagua watu kwa misingi ya eti mimi ni tajiri,hiki ni chama changu, chama hiki kimenilea, baba yangu alikuwa mwana CCM, nimepewa kitenge, n.k.

Kuna wenzetu wa chama fulani bado wanaendelea kuchukulia mambo ya siasa na wanasiasa kwa mazoe wakidhani wao ndio wako salama, ila wajue tu kuna gharama ya kulipa inayowasubiri huko mbeleni ambayo ni kubwa kuliko uwezo walionao.
Ingefaa tuingie mtaani kupinga ushenzi unaoendelea.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom