Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,894
- 20,375
Wadau, amani iwe kwenu.
Kama kuna watu wanatamani Utawala wa Rais Magufuli usifike 2020, basi miongoni mwao ni hawa wafuatano.
1. Wauzaji na watumiaji wa Madawa ya Kulevya
2. Wakwepa kodi na wafanya biashara kijanja ujanja.
3. Wezi, mafisadi na wabadhilifu wa mali za umma
4. Vibaraka wa mataifa ya kinyonyaji
5. Wazembe kazini na wapiga deal
Haya ni baadhi ya makundi yanayopambana kila uchwao kuhakikisha Rais Magufuli hafanikiwi. Nyuma yao wapo CHADEMA ambao wamekuwa wahanga wa Utawala wa Rais Magufuli kutokana na kuwanyima ajenda kwenye majukwaa ya siasa.
Lazima tuheshimiane tu. hakuna jinsi