JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,112
- 3,536
Ndugu wanabodi,
naleta kwenu hoja hii ili tuijadili kwa pamoja ili nikipata ushauri mzuri nipate mahali pakuanzia kumpeleka Jecha mahakamani kwan kimsingi amevunja katiba.
Nijuavyo mimi alitakiwa awashirikishe wajumbe wote wa tume kwa maana ya makamishna, lakini yeye kwa sababu anazo zijua yeye akaamua kufuta matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 upande wa Zanzibar.
Kwa kufuta matokeo yale siyo tu amewatia hasara wagombea kwakuwa walitumia fedha nyingi na muda mwingi kwaajili ya kampeni halafu mtu mmoja anaamua jambo baya bila kuzingatia masilahi mapana ya Nchi.
Kitendo hicho pia kinaweza kutuingiza kwenye siasa za chuki na uhasama kwasababu mtu mmoja tukaamua anavyo jua yeye.naombeni ushauri ili niende mahakamani mapema.